Wachumba wa jf na mpesa,tigo pesa,??????????

Ni ushauri tu
kuna hii tabia ya wakaka /wababa/wazee wanaotoa matangazo yao ya kutafuta wachumba humu
mtu anatiritika sifa za amtakae then kuna hiki kipengele mnakipenda sana sijui ndo wimbo wa taifa kwenu? Oooh asiwe anapiga mizinga ooh dont mpesa me,or dont tigo pesa or airtel money me????
Khaaa mnajihami nini ? Ulishampesa na kutigopesa wangapi? Nani kasema ana shida na pesa by the way kama hela ni issue na unazo si zingekupa partner siku zote? Mbona unakuja kutulilia pm hapa
huko ni kuogopa majukumu,kuwa simple
sio wanawake wote wapo kiiivo ila ukishatanguliza umimi umimi katika vitu vyako unajipunguzia maksi,changu changu hela zangu hela zangu kaa nazo basi!
Wala hamna mtu mwenye time na hela zenu wanawake wanapenda mapenzi ya dhati na sio pesa ,hata sisi tunatafuta
chorusOn his death bed, Alexander summoned his generals and told them his threeultimate wishes:

1. The best doctors should carry his coffin;

2. The wealth he has accumulated (money, gold, precious stones…) should be scattered along the procession to the cemetery, and

3. His hands should be let loose, hanging outside the coffin for all to see!!

One of his general who was surprised by these unusual re...quests asked Alexander to explain. Here is what Alexander the Great had to say:

1. I want the best doctors to carry my coffin to demonstrate that, in the face of death, even the best doctors in the world have no power to heal;

2. I want the road to be covered with my treasure so that everybody sees that material wealth acquired on earth, stays on earth...

3. I want my hands to swing in the wind, so that people understand that we come to this world empty handed and we leave this world empty handed
majukumu gani? watu wanyoogopa..navyofahamu mim..jukumu linaaanzia kwa mke...thats as far as i know..na thats how the bible says..Mume amtunze mkewe..so as far as marriage is not in sight there exists absolutely no responsibility of whatsoever kind..! huwezi jitwika vitu ambavyo mtu vinampendezesha binafsi na kujifanya ni majukumu yako..ud..be a mad man for doing so..kama wataka pendeza tumia pesa yako..kwan sh..ngp bana...enh????
 
Mi kabla mtu hajani PM inabidi anitumie kwanza Mpesa.

Hakuna conversation inafanyika bila kulipiwa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kuna mdada alikuwa analalamika eti jamaa yake ana hela sana,dada wa watu akimwambia i love you darling mfano anamjibu weee haibiwi mtu hapa,akimbusu kidogo anamsukuma anamwambia hadanganyiki mtu,dada wa watu akasepa zake,jamaa akanywa sumu.yaani hawajiamini ,wakiwa nazo shida,hawana wanasalitiwa? pesa ni karatasi tu,mtu umenijua na meno yangu 32 uje unizingue na mpesa zako za elfu kumi hapa mjini?
acha maneno mengi..watu tushaona type kama hizi kibao tuu..ukweli ndo huu..mwanamke anapenda vitu vizuri kupita umezo wake na tamaa ikishazidi uwezo mwili ndo hutumika..unaweza kuta msichana mwanzo anajifaragua ooh..im not in it for the money, i want true love etc..but kama kawaida mtu huwezi ficha tabia yako utajitahidi miez miwili mitatu..lakini baada ya hapo huwezi utaonesha tu makucha yako..so unaposema sio wanawake wote wanapenda pesa..naona husemi yaliyo moyoni..mwanamke wa kiafrica kiasili anachoamini ni kwamba kupata mwanaume ndo amefanikiwa kiasi fulani kiuchumi...piga ua huo ndo ukweli...so muda ukifika utaanza tu demand vitu vinavyohusiana na monetary..stuffs..issue ni hii kila mwanamke anapenda pesa..tena pesa mbele..tofauti ipo katika MUDA gani huyu anaanza mizinga mmoja anawahi na mwingine anachelewa..etc..so stop pretending najua hata wewe mwenyewe unapenda pesa...tukubali tukatae mwanamke anaepiga mizinga hana mapenzi na wewe..umkimpenda mtu..hata sh. 10 huombi..napenda sana mapenzi ya kizungu..kila mtu so independent..hamna nataka enda salon,nimekopa kwa nan cjui,naskia njaa WTF>>>>???AAAARRRRRRGGGHHHHH
 
Sina hata thumni afu nataka 'pork ribs' au 'T-bone', hivi polisi wana hiyo menyu?
Sasa hivi ni kujipanga mwenyewe tu, ukisubiri kuhongwa l;aki ya pafyumu basi itabidi uvumilie kunukia 'kizamadamu'

Hahahaha! Uwiii!
Yaani mwaka huu ni kula polisi kwa kwenda mberree! Namshukuru Paw kwa kunisitiri, ningekoma! Wanaume wameisha aisee! Unampa mtu.laki unaita hongo? Kha!
 
acha maneno mengi..watu tushaona type kama hizi kibao tuu..ukweli ndo huu..mwanamke anapenda vitu vizuri kupita umezo wake na tamaa ikishazidi uwezo mwili ndo hutumika..unaweza kuta msichana mwanzo anajifaragua ooh..im not in it for the money, i want true love etc..but kama kawaida mtu huwezi ficha tabia yako utajitahidi miez miwili mitatu..lakini baada ya hapo huwezi utaonesha tu makucha yako..so unaposema sio wanawake wote wanapenda pesa..naona husemi yaliyo moyoni..mwanamke wa kiafrica kiasili anachoamini ni kwamba kupata mwanaume ndo amefanikiwa kiasi fulani kiuchumi...piga ua huo ndo ukweli...so muda ukifika utaanza tu demand vitu vinavyohusiana na monetary..stuffs..issue ni hii kila mwanamke anapenda pesa..tena pesa mbele..tofauti ipo katika muda gani huyu anaanza mizinga mmoja anawahi na mwingine anachelewa..etc..so stop pretending najua hata wewe mwenyewe unapenda pesa...tukubali tukatae mwanamke anaepiga mizinga hana mapenzi na wewe..umkimpenda mtu..hata sh. 10 huombi..napenda sana mapenzi ya kizungu..kila mtu so independent..hamna nataka enda salon,nimekopa kwa nan cjui,naskia njaa wtf>>>>???aaaarrrrrrggghhhhh
ngoja nipo busy
 
Ni ushauri tu
kuna hii tabia ya wakaka /wababa/wazee wanaotoa matangazo yao ya kutafuta wachumba humu
mtu anatiritika sifa za amtakae then kuna hiki kipengele mnakipenda sana sijui ndo wimbo wa taifa kwenu? Oooh asiwe anapiga mizinga ooh dont mpesa me,or dont tigo pesa or airtel money me????
Khaaa mnajihami nini ? Ulishampesa na kutigopesa wangapi? Nani kasema ana shida na pesa by the way kama hela ni issue na unazo si zingekupa partner siku zote? Mbona unakuja kutulilia pm hapa
huko ni kuogopa majukumu,kuwa simple
sio wanawake wote wapo kiiivo ila ukishatanguliza umimi umimi katika vitu vyako unajipunguzia maksi,changu changu hela zangu hela zangu kaa nazo basi!
Wala hamna mtu mwenye time na hela zenu wanawake wanapenda mapenzi ya dhati na sio pesa ,hata sisi tunatafuta
chorusOn his death bed, Alexander summoned his generals and told them his threeultimate wishes:

1. The best doctors should carry his coffin;

2. The wealth he has accumulated (money, gold, precious stones…) should be scattered along the procession to the cemetery, and

3. His hands should be let loose, hanging outside the coffin for all to see!!

One of his general who was surprised by these unusual re...quests asked Alexander to explain. Here is what Alexander the Great had to say:

1. I want the best doctors to carry my coffin to demonstrate that, in the face of death, even the best doctors in the world have no power to heal;

2. I want the road to be covered with my treasure so that everybody sees that material wealth acquired on earth, stays on earth...

3. I want my hands to swing in the wind, so that people understand that we come to this world empty handed and we leave this world empty handed
mbna siku zote husemi kama unataka mchumba 2po hapa tuliokamilika kuanzia job nakuendelea
 
Humu hamna lolote wanawake wanaoleta matangazo humu ya wachumba wameshindikana hizi ndio tabia zao
1.akikupigia simu kaka wewe unafanya kazi gani ukimwambia mimi nafanya kazi ya kubeba mizigo ehe una elimu gani huku anasahau kuwa ndoa au mapenzi havina uhusiano kabisa halafu wanapenda mapenzi ya akina Lil wayne huu ni upuuzi mkubwa ndio maana wengi wanaishia kugegedwa tu ushauri mtu unapomuuliza maswali uwe makini siyo lazima kuuuliza maswali kaa naye umuone face to face
2.siku ya pili eti anakuita baby hebu nirushie credity mimi natoka kazini saizi tena anatakaTSH5000/=humu hamna watafuta wachumba wa kiume walio makini wengi ni viruka njia tu akikupa namba ya simu kesho yake haipatikani milele wengi wanajaribu kuona kuwa watapigiwa hawako makini
3.mwisho nawapa pongezi wote wanatafuta wachumba humu kwa kuonekana wapuuzi kwa kutoa namba za simu za uongo
 
Ni ushauri tu
kuna hii tabia ya wakaka /wababa/wazee wanaotoa matangazo yao ya kutafuta wachumba humu
mtu anatiritika sifa za amtakae then kuna hiki kipengele mnakipenda sana sijui ndo wimbo wa taifa kwenu? Oooh asiwe anapiga mizinga ooh dont mpesa me,or dont tigo pesa or airtel money me????
Khaaa mnajihami nini ? Ulishampesa na kutigopesa wangapi? Nani kasema ana shida na pesa by the way kama hela ni issue na unazo si zingekupa partner siku zote? Mbona unakuja kutulilia pm hapa
huko ni kuogopa majukumu,kuwa simple
sio wanawake wote wapo kiiivo ila ukishatanguliza umimi umimi katika vitu vyako unajipunguzia maksi,changu changu hela zangu hela zangu kaa nazo basi!
Wala hamna mtu mwenye time na hela zenu wanawake wanapenda mapenzi ya dhati na sio pesa ,hata sisi tunatafuta
chorusOn his death bed, Alexander summoned his generals and told them his threeultimate wishes:

1. The best doctors should carry his coffin;

2. The wealth he has accumulated (money, gold, precious stones…) should be scattered along the procession to the cemetery, and

3. His hands should be let loose, hanging outside the coffin for all to see!!

One of his general who was surprised by these unusual re...quests asked Alexander to explain. Here is what Alexander the Great had to say:

1. I want the best doctors to carry my coffin to demonstrate that, in the face of death, even the best doctors in the world have no power to heal;

2. I want the road to be covered with my treasure so that everybody sees that material wealth acquired on earth, stays on earth...

3. I want my hands to swing in the wind, so that people understand that we come to this world empty handed and we leave this world empty handed

Mhhhhhh yamekukuta mama
 
acha maneno mengi..watu tushaona type kama hizi kibao tuu..ukweli ndo huu..mwanamke anapenda vitu vizuri kupita umezo wake na tamaa ikishazidi uwezo mwili ndo hutumika..unaweza kuta msichana mwanzo anajifaragua ooh..im not in it for the money, i want true love etc..but kama kawaida mtu huwezi ficha tabia yako utajitahidi miez miwili mitatu..lakini baada ya hapo huwezi utaonesha tu makucha yako..so unaposema sio wanawake wote wanapenda pesa..naona husemi yaliyo moyoni..mwanamke wa kiafrica kiasili anachoamini ni kwamba kupata mwanaume ndo amefanikiwa kiasi fulani kiuchumi...piga ua huo ndo ukweli...so muda ukifika utaanza tu demand vitu vinavyohusiana na monetary..stuffs..issue ni hii kila mwanamke anapenda pesa..tena pesa mbele..tofauti ipo katika MUDA gani huyu anaanza mizinga mmoja anawahi na mwingine anachelewa..etc..so stop pretending najua hata wewe mwenyewe unapenda pesa...tukubali tukatae mwanamke anaepiga mizinga hana mapenzi na wewe..umkimpenda mtu..hata sh. 10 huombi..napenda sana mapenzi ya kizungu..kila mtu so independent..hamna nataka enda salon,nimekopa kwa nan cjui,naskia njaa WTF>>>>???AAAARRRRRRGGGHHHHH
mkiwa kwenye mapenzi kusaidiana kupo mkuu,kumbuka mpenzi wako ni mtu wako wa karibu in case of anything ni wajibu wako kusaidia kama uwezo upo. kwanini msisaidiane ? kusaidiana ni kupigana mizinga? urafiki maana yake ni nini kama unakwazika kumsaidia mwenzio?
 
Nyie wanawake tabu sana.Si nyie mnaokuja hapa na kulalama kuwa mnataka wanaume wenye pesa?
'
Mtu anaweka angalizo la kutotaka kupigwa mzinga,nalo limekuwa tatizo,mnashangaza sana
'
Ooooh mimi mwanaume atakaenitongoza awe na hela,njaa njaa zenu ndo zinawasumbua,kama hamtaki wenye hela,mtu akisema hataki kupigwa mzinga kinakuuma nini?
'
Aaggrr,mnakera!!
 
mkiwa kwenye mapenzi kusaidiana kupo mkuu,kumbuka mpenzi wako ni mtu wako wa karibu in case of anything ni wajibu wako kusaidia kama uwezo upo. kwanini msisaidiane ? kusaidiana ni kupigana mizinga? urafiki maana yake ni nini kama unakwazika kumsaidia mwenzio?
wanawake wengi wanatumia hilo neno hapo juu..kujustify..u golddigger wao...ni hivi yani umekosa..marafiki, ndugu, wazazi wako wakusaidie ndo uje ulete hizo hbr kwa mpenzi wako? kabla ya kua na yeye nani alikua anakusaidia?...connction inayowaunganisha inabidi utambue ni MAPENZI tu and nothing else so ninyi ni katika mapenzi..tu mambo ya finances, unashida, cjui nin na nin hayo malizana nayo mwenyewe..lakini ni bahati mbaya sana mwanamke wa kiafrica hawezi kuelewa hilo hata siku moja...
 
'Akaaa babu wee nituee.. Siwezi kupenda mwanaume suruali'

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

ni wewe kama vipi funga ndoa na BOT
Smile pengine anayetuma PM ya hizo mambo au kuweka uzi anatahadhari na watu kama adakiss. Kwasababu tyr imeonekana kuwa kuna wanawake pesa kwanza mapenzi baadaye.
 
Last edited by a moderator:
wanawake wengi wanatumia hilo neno hapo juu..kujustify..u golddigger wao...ni hivi yani umekosa..marafiki, ndugu, wazazi wako wakusaidie ndo uje ulete hizo hbr kwa mpenzi wako? kabla ya kua na yeye nani alikua anakusaidia?...connction inayowaunganisha inabidi utambue ni MAPENZI tu and nothing else so ninyi ni katika mapenzi..tu mambo ya finances, unashida, cjui nin na nin hayo malizana nayo mwenyewe..lakini ni bahati mbaya sana mwanamke wa kiafrica hawezi kuelewa hilo hata siku moja...
marafiki tena,wewe sio rafiki?
 
kuna mdada alikuwa analalamika eti jamaa yake ana hela sana,dada wa watu akimwambia i love you darling mfano anamjibu weee haibiwi mtu hapa,akimbusu kidogo anamsukuma anamwambia hadanganyiki mtu,dada wa watu akasepa zake,jamaa akanywa sumu.yaani hawajiamini ,wakiwa nazo shida,hawana wanasalitiwa? pesa ni karatasi tu,mtu umenijua na meno yangu 32 uje unizingue na mpesa zako za elfu kumi hapa mjini?
Hee, Smile ni wewe kweli au macho yangu? Kuna Pedeshee anakuzingua na mipesa yake nini????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom