Wachumi Kenya wadai reli mpya haitailipa nchi hiyo, na yenyewe Itajiuza kwa China kulipa deni lake?

Kwamba tunaendeshwa kwa hisia na mihemuko? Hizo dhana zimepitwa kaka kama unafikiri hizi hi era za huko nyuma sio kwa sasa!

Transparency kwenye sgr utaiona tu subiri kokoto zianze kutandazwa!

Unaweza ukawa sahihi kuwa to some extent, haya mambo huko nyuma yalikuwa yanagubikwa na usiri mkubwa na kutusabibishia hasara lakini kwa sa hzi tz tumeamuka! Kizazi cha sasa sio kile kizazi cha babu zetu,

Hapo nyuma, hata huko Kenya na hapa hakukuwa na uhuru wa kuhoji mambo makubwa makubwa! Sa hzi watu wanahoji na majibu yanatolewa!

Now the ball is rolling brother, not freely but controlled!
 
Ulitegemea mkenya azungumzie lipi kuhusu kilimo
hawana Ardhi yakulima sasa hawezi kuona umuhimu wa kilimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…