Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Kwamba tunaendeshwa kwa hisia na mihemuko? Hizo dhana zimepitwa kaka kama unafikiri hizi hi era za huko nyuma sio kwa sasa!Ndio maanake nikakwambia huna haja ya kunikumbusha kwamba sasa hivi mpo kwenye michakato ya kutafuta hela ya awamu ya pili ya ujenzi, muda wote nimekua nikiongea kuhusu hii phase two. Awamu ya kwanza mlishazindua ujenzi wake na kusema hela mtatumia zenu za ndani, japo nayo pia hamjawa na utoaji wa taarifa kama sisi ambao tulihakikisha kuwajuza ulimwengu kuhusu kila hatua ya mradi wetu.
Yenu mnapiga kimya na kuruhusu propaganda za kila aina zinazagaa kote kote. Kwenye huo uzi nimeona jamaa hapo analalamika kwamba wanatishiwa kwenye PM na nafikiri ndio maana uzi haukuendelea, umeishia kwenye bandiko za mapicha ya mradi wetu.
Kingine, hamna jinsi uhusiano wa Wachina na Tz unaweza kuvunjika maana Wachina kama tulivyo Wakenya, ni wajanja sana na wanajua jinsi ya kubembeleza. Nyie kawaida huwa mnaendeshwa kwa hisia na mihemko, lakini wanabiashara wanajua jinsi ya kuendana na watu wa aina yenu. Huko Tanzania bado kuna raslimali nyingi sana na fursa za kila aina, hivyo lazima Wachina wahakikishe hawachezei mbali, hata mkiwapiga chini kwenye baadhi ya miradi.
Kauli kuu ya mwanabiashara yeyote mweledi ni 'never get personal', na ndio maana hata sisi huwa mnaturushia kila aina dongo lakini tunacheza kimya maana tupo kimaslahi zaidi. Hivyo Mchina atahakikisha anachezea karibu na kwa kutumia mbinu nyngi ahakikishe anaendelea kunufaika ndani ya nchi yenu.
Transparency kwenye sgr utaiona tu subiri kokoto zianze kutandazwa!
Unaweza ukawa sahihi kuwa to some extent, haya mambo huko nyuma yalikuwa yanagubikwa na usiri mkubwa na kutusabibishia hasara lakini kwa sa hzi tz tumeamuka! Kizazi cha sasa sio kile kizazi cha babu zetu,
Hapo nyuma, hata huko Kenya na hapa hakukuwa na uhuru wa kuhoji mambo makubwa makubwa! Sa hzi watu wanahoji na majibu yanatolewa!
Now the ball is rolling brother, not freely but controlled!