Wachumi Na wafanyabiashara tushauriane, naanzisha biashara ya kukopesha

M-FINANCE

Senior Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
107
Reaction score
142
FURSA SI NDO HII SASA!
Ushauri wenu wakubwa ni muhimu sana,
September mosi nina mpango wa kuanzisha kabiashara haka,
Niko dar es salaam ,

Mkopo rahis wenye mashart nafuu,

Nitaanzisha ukopeshaji kwa wahitaji wa hela kiasi Kidogo kidogo,

Kiasi cha kukopesha riba Na muda wa kurejesha

1. 50,000 ndani ya wiki moja 75,000 inarejeshwa,

2. 75,000 ndani ya wiki moja inarejeshwa 110,000

2. 100,000 ndani ya wiki moja inarejeshwa 140,000

3. 200,000 ndani ya wiki moja 280,000

Mpango ni kuwa watakaozidi 200,000

Kwa wanaotaka zaid ya laki 200,000-400,000

Marejesho ni miezi miwili kila week amarejesha ifuatavyo

200,000 kila week anarejesha 40,000

300,000 kila week 60,000

400,000 kila week anarejesha 80,000

Dhamana nayokubali

1. Telephone
2. Radio sub woofer
3. Laptops
4. Desktops
5. Pikipiki
6. Projector
7. Photocopiers
8. Printers
9. Kipande Cha eneo

Hatua husika nahakikisha kisheria kuwa Mali iliyowekwa dhamana ni ya muhusika kweli siyo kuiba alafu ukaleta ,

1.Utatakiwa uwe Na kitambulisho chako 2.Receipt ya kifaa unachoweka dhamana,
3. Picha yako ya karibuni
4. Barua ya kukutambulisha unapokaa,

MUHIMU: ukipitisha siku moja bila kuleta hela Mali inauzwa HAPA KAZI TU,

Ushauri wenu katika haya
1. Je kuna haja ya kufungua ofisi maana mi mtaji si Mkubwa ofis itamaliza hela yangu, Bora tukopeshane kiundugu ndugu,

2. Je soko kwa wakopaji limekaaje?

3. Vipi kuuza Mali aloweka dhamana si inaweza leta msuko suko?
Asante yakhee

ILA HELA NGUMU NIKIFIRIA KUWEKEZA ALAFU MTU ASINILIPE SIJUI NTAFANYAJE,

Updates nimefika hatua hii kitu kinaanza

Nimemaliza taratibu zote September project hii
 
Safi! Asipolipa unapiga mnada dhamana yake, kwa maana nyingine kuwa makini dhamna anayoweka mtu iwe na thamani ya walau mara mbili ya fedha alizokopeshwa...

Kwa hiyo kuna wakati inabidi ujiandae kwa kufanya mnada baada ya wakati Fulani baada ya watu kushindwa kulipa madeni yao kwa wakati.

Hayo mawazo yangu tu
 
Hii nimeipenda kweli kabisa maana akichukua 100,000 angalau dhamana iwe Na thamani ya 170,000-200,000
 
Ndio hivyo mawazo yangu mkuu, ili hata ukiamua kupiga mnada vuup bin vuuu unauza kwa dakika sifuri unarudisha hela yako mali zisikudodee ukashindwa kurudisha pesa zako ukaendelea na kazi yako ya kukopesha
 
Powa ajira ngumu nimeamua niuze kiplot changu nipate 5,000,000 yaan hapo nimeshapiga mahesabu ma feasibility study ya kutosha
 
FURSA SI NDO HII SASA!
Ushauri wenu wakubwa ni muhimu sana,
September mosi nina mpango wa kuanzisha kabiashara haka,
Niko dar es salaam ,

Mkopo rahis wenye mashart nafuu,

Nitaanzisha ukopeshaji kwa wahitaji wa hela kiasi Kidogo kidogo,

Kiasi cha kukopesha riba Na muda wa kurejesha

1. 50,000 ndani ya wiki moja 75,000 inarejeshwa,

2. 75,000 ndani ya wiki moja inarejeshwa 110,000

2. 100,000 ndani ya wiki moja inarejeshwa 140,000

3. 200,000 ndani ya wiki moja 280,000

Mpango ni kuwa watakaozidi 200,000

Kwa wanaotaka zaid ya laki 200,000-400,000

Marejesho ni miezi miwili kila week amarejesha ifuatavyo

200,000 kila week anarejesha 40,000

300,000 kila week 60,000

400,000 kila week anarejesha 80,000

Dhamana nayokubali

1. Telephone
2. Radio sub woofer
3. Laptops
4. Desktops
5. Pikipiki
6. Projector
7. Photocopiers
8. Printers
9. Kipande Cha eneo

Hatua husika nahakikisha kisheria kuwa Mali iliyowekwa dhamana ni ya muhusika kweli siyo kuiba alafu ukaleta ,

1.Utatakiwa uwe Na kitambulisho chako 2.Receipt ya kifaa unachoweka dhamana,
3. Picha yako ya karibuni
4. Barua ya kukutambulisha unapokaa,

MUHIMU: ukipitisha siku moja bila kuleta hela Mali inauzwa HAPA KAZI TU,

Ushauri wenu katika haya
1. Je kuna haja ya kufungua ofisi maana mi mtaji si Mkubwa ofis itamaliza hela yangu, Bora tukopeshane kiundugu ndugu,

2. Je soko kwa wakopaji limekaaje?

3. Vipi kuuza Mali aloweka dhamana si inaweza leta msuko suko?
Asante yakhee

ILA HELA NGUMU NIKIFIRIA KUWEKEZA ALAFU MTU ASINILIPE SIJUI NTAFANYAJE,
Ukianza kupiga mnada namba 6,7,5. Nistue
 
Ni Wazo zuri sana, ila nadhani riba yako ni kubwa sana hasa ukizingatia kuwa ndani ya wiki moja tu mtu arudishe pesa (Je kwa biashara au shughuli gani ambayo ndani ya wiki tu itakuwa imeishatema mpunga?)

Ukiangalia kwa haraka haraka ni kwamba kwa kiwango cha kwanza ambacho ni 50,000/-, unatoza asilimia hamsini (50%) ambayo ni 25,000/-.
Hiki ni kiwango kikubwa sana ukizingatia na hali halisi ya uchumi wa watu wengi kwa sasa. Na kutokana na riba + mda mchache wa kurudisha pesa, mtu akikopa hela nyingi kuanzia laki mbili-kuendelea unaweza ukauza sana dhamana zao.

Mimi nakumbuka tulipokuwa chuoni kuna jamaa alikuwa anakopesha kwa riba ya 30% kwa mkopo, hii ikiwa na maana mf. kwa kila 10,000/- Mtu atarudisha 13,000/- na nakumbuka watu waliweza ku-afford na ikawa msaada mkubwa kwao.

Ungelifikiria hilo mkuu ikiwezekana na wewe uchaji 30% nafikiri itakuwa vizuri sana (hasa kwa vijana ambao wengi sasahivi wanawekeza kwenye (betting) ndio wasavaiv. Kwa vijana itakuwa poa sana hii kitu km utazingatia hivyo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli nimekuelewa nitachage 30 kwa week yaan kwa kila 10,000 izae 3000
 
Brother biashara ya kukopesha ni pasua kichwa sana, lakini unataka faida kubwa sana kwa muda mfupi kwa kuweka riba kubwa kwa wiki, hio riba itakuletea shida katika urejeshwaji wa mkopo wako.
Hapo unaweza kufanya mambo mawili kwa uhakika uongeze muda yaani mpaka mwezi, au upunguze riba kiasi cha kulipika.
Lakini pia wateja wajuaji wanaweza kukuchonganisha na sheria ukajikuta mtatani. Au labda ujisajili kabisa.
 
[QUOTE="M-FINANCE, post: 22937509, Wachumi Na wafanyabiashara tushauriane, naanzisha biashara ya kukopesha [/QUOTE]
Safi sana mkuu na kila la kheri, nimeshukuru kuna dhamana, natumaini anayetaka mkopo alete yenye thamani mara 3 ya mkopo achukuao ili apate motisha ya kuridisha hela.
Sio lazima ufungue ofisi, ila lazima uwe na sehemu salama na nzuri ya kuhifadhi mali za watu.
Muhimu sana ukaisajili wasije wakakuchomea ukapata matatizo, sidhani kama ni bei kihivyo, naomba uwe na rekodi za hela zinazokopeshwa na kurudishwa, ukienda TRA watakusaidia zaidi, hii ni muhimu sana kuliko chochote kile, maana kuna siku lazima utagombana na wenye mali kwa kuziuza, sasa watakutishia huna leseni.
 
Brother biashara ya kukopesha ni pasua kichwa sana, lakini unataka faida kubwa sana kwa muda mfupi kwa kuweka riba kubwa kwa wiki, hio riba itakuletea shida katika urejeshwaji wa mkopo wako.
Hapo unaweza kufanya mambo mawili kwa uhakika uongeze muda yaani mpaka mwezi, au upunguze riba kiasi cha kulipika.
Lakini pia wateja wajuaji wanaweza kukuchonganisha na sheria ukajikuta mtatani. Au labda ujisajili kabisa.
Kabisa mkuu, nami naliwaza ilo
 
Hiyo kuisajili kaka si inaweza kuwa gharama kubwa maana,itakuwa kama financial services company, au micro finance, Mi nilitaka kwa mwanzo nianze kawaida
Hapana kaka, sio gharama kabisa, pia naomba usiingizwe kichwa kichwa na matapeli wa TRA, fuata sheria inasemaje, kule ukienda sema wataka kuanzisha biashara hiyo na kusema unaifanya bila leseni, kuna kuisajili TRA na leseni wilayani...
Please nenda kaulize, achana na woga au kutaka kufanya biz kinyemela, itakula kwako...[/QUOTE]

Kweli kaka , ni kama kias gan Na wapi PA kuanzia
 
Back
Top Bottom