dojonase
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 1,692
- 2,312
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GoodKweli nimekuelewa nitachage 30 kwa week yaan kwa kila 10,000 izae 3000
ha ha ha,anza kidogo,mfano tenga milioni 1,kisha sikilizia kwanza,kisha ongeza moja etcHapo ndo naogopa sasa
Hapa kweli mkuu umenipa mwangaFanya marketing mfano kwa wamama ntilie,chagua kama 50 hivi wale unaona biashara zinatoka,wengi wao malighafi wananunua daily madukani mfano mchele,maharage,ngano etc juu hawana mitaji mikubwa,
waelimishe faida ya kununua in bulk jinsi itakavyowapa faida,
kisha unawambia unatoa microfinancing,kwa interest ya 30%,utawapata tu maana mtu atataka anunue mchele,ngano kwa bei ya jumla ili awe anauza,anarejesha pesa na kubaki na faida,
tatizo moja tu hawa wamama wanatumia teckno za elfu 20,
sasa sijui thamana atawekesha nini
Hiyo ni changamoto ya techno, lakin kama wakiwekewa utaratibu wa.kurejesha mwa amwamu, yaan unampa 50, kila siku akupe 2500 tu kwa mwezi yaan siku 30 kwanza ni affordable pili ni peaceful way of repayment haiumizi, nitatenga mamantilie 100 tu jiji la dar, unawapa 100,000 kila mtu then daily warejeshe 5000 tu ndani ya mweziFanya marketing mfano kwa wamama ntilie,chagua kama 50 hivi wale unaona biashara zinatoka,wengi wao malighafi wananunua daily madukani mfano mchele,maharage,ngano etc juu hawana mitaji mikubwa,
waelimishe faida ya kununua in bulk jinsi itakavyowapa faida,
kisha unawambia unatoa microfinancing,kwa interest ya 30%,utawapata tu maana mtu atataka anunue mchele,ngano kwa bei ya jumla ili awe anauza,anarejesha pesa na kubaki na faida,
tatizo moja tu hawa wamama wanatumia teckno za elfu 20,
sasa sijui thamana atawekesha nini
Hata mm nimeona hivyo,.dah hiyo riba mbona kubwa sana?
Kwa hivi viwango vya riba ukipata wakopaji wengi watakuwa sio walipaji watakuja kwa sababu wanashida ila kwa lugha nyepesi watakuwa wapigaji dhamana za uongo nk.FURSA SI NDO HII SASA!
Ushauri wenu wakubwa ni muhimu sana,
September mosi nina mpango wa kuanzisha kabiashara haka,
Niko dar es salaam ,
Mkopo rahis wenye mashart nafuu,
Nitaanzisha ukopeshaji kwa wahitaji wa hela kiasi Kidogo kidogo,
Kiasi cha kukopesha riba Na muda wa kurejesha
1. 50,000 ndani ya wiki moja 75,000 inarejeshwa,
2. 75,000 ndani ya wiki moja inarejeshwa 110,000
2. 100,000 ndani ya wiki moja inarejeshwa 140,000
3. 200,000 ndani ya wiki moja 280,000
Mpango ni kuwa watakaozidi 200,000
Kwa wanaotaka zaid ya laki 200,000-400,000
Marejesho ni miezi miwili kila week amarejesha ifuatavyo
200,000 kila week anarejesha 40,000
300,000 kila week 60,000
400,000 kila week anarejesha 80,000
Dhamana nayokubali
1. Telephone
2. Radio sub woofer
3. Laptops
4. Desktops
5. Pikipiki
6. Projector
7. Photocopiers
8. Printers
9. Kipande Cha eneo
Hatua husika nahakikisha kisheria kuwa Mali iliyowekwa dhamana ni ya muhusika kweli siyo kuiba alafu ukaleta ,
1.Utatakiwa uwe Na kitambulisho chako 2.Receipt ya kifaa unachoweka dhamana,
3. Picha yako ya karibuni
4. Barua ya kukutambulisha unapokaa,
MUHIMU: ukipitisha siku moja bila kuleta hela Mali inauzwa HAPA KAZI TU,
Ushauri wenu katika haya
1. Je kuna haja ya kufungua ofisi maana mi mtaji si Mkubwa ofis itamaliza hela yangu, Bora tukopeshane kiundugu ndugu,
2. Je soko kwa wakopaji limekaaje?
3. Vipi kuuza Mali aloweka dhamana si inaweza leta msuko suko?
Asante yakhee
ILA HELA NGUMU NIKIFIRIA KUWEKEZA ALAFU MTU ASINILIPE SIJUI NTAFANYAJE,