REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
mshana nilishawahi kuja na uzi hapa nikakuita utupe majibu kuhusu haya haya mambo ya kukopesha nikasema je nguvu ya giza inaweza saidia mtu anayekopwa pesa akaogopwaNi biashara nzuri lakini yenye laana! Mwanzoni utaenda vizuri sana halafu itafika kipindi utaanza kuporomoka, utajikuta una dhamana nyingi zisizouzika.. Hasa viitu vya umeme havikawii kuisha fasheni
Kitu kingine kibaya kwenye hii biashara ni hiki hapa, kuna mali zilipatikana kwa kutumia ushirikina au zilitumika kwenye mambo ya kishirikina, huko ziliko zikaleta kasheshe na mabalaa na haziuziki, unaletewa kwa njia ya bond unatoa hela.... Baada ya hapo sasa utaanza kupambana na hali yako yakhe
Jr[emoji769]
ina maana hivi mfano naenda kwa jamaa hapa nakopa milioni mbili ananipatia naenda fanya shughuli zangu lakini kila siku nikiamka najikuta nawaza kutafuta pesa nimrudishie jamaa yani nakuwa na hofu kupita Maelezo kuhusu ilo deni tofauti na watu wengine ukimkopa hata wazo la unadaiwa una kuwa huna
ndio nikakuuliza je hawa watu huwa wanatumia shiliki