Wachumi Na wafanyabiashara tushauriane, naanzisha biashara ya kukopesha

Wachumi Na wafanyabiashara tushauriane, naanzisha biashara ya kukopesha

Ni biashara nzuri lakini yenye laana! Mwanzoni utaenda vizuri sana halafu itafika kipindi utaanza kuporomoka, utajikuta una dhamana nyingi zisizouzika.. Hasa viitu vya umeme havikawii kuisha fasheni
Kitu kingine kibaya kwenye hii biashara ni hiki hapa, kuna mali zilipatikana kwa kutumia ushirikina au zilitumika kwenye mambo ya kishirikina, huko ziliko zikaleta kasheshe na mabalaa na haziuziki, unaletewa kwa njia ya bond unatoa hela.... Baada ya hapo sasa utaanza kupambana na hali yako yakhe

Jr[emoji769]
mshana nilishawahi kuja na uzi hapa nikakuita utupe majibu kuhusu haya haya mambo ya kukopesha nikasema je nguvu ya giza inaweza saidia mtu anayekopwa pesa akaogopwa

ina maana hivi mfano naenda kwa jamaa hapa nakopa milioni mbili ananipatia naenda fanya shughuli zangu lakini kila siku nikiamka najikuta nawaza kutafuta pesa nimrudishie jamaa yani nakuwa na hofu kupita Maelezo kuhusu ilo deni tofauti na watu wengine ukimkopa hata wazo la unadaiwa una kuwa huna

ndio nikakuuliza je hawa watu huwa wanatumia shiliki
 
Riba ni kubwa sana. Ili upate "clients"na wajue huduma zako anza kwa riba ndogo then utaongeza baadaye.
Wakishakuzoea mikopo mpaka kunakuwa na foleni.
Milioni mbili kila mwezi hukosi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mshana nilishawahi kuja na uzi hapa nikakuita utupe majibu kuhusu haya haya mambo ya kukopesha nikasema je nguvu ya giza inaweza saidia mtu anayekopwa pesa akaogopwa

ina maana hivi mfano naenda kwa jamaa hapa nakopa milioni mbili ananipatia naenda fanya shughuli zangu lakini kila siku nikiamka najikuta nawaza kutafuta pesa nimrudishie jamaa yani nakuwa na hofu kupita Maelezo kuhusu ilo deni tofauti na watu wengine ukimkopa hata wazo la unadaiwa una kuwa huna

ndio nikakuuliza je hawa watu huwa wanatumia shiliki
Wapo wanaotumia tena sana hebu niite kwenye huo uzi tujadili kwa upana

Jr[emoji769]
 
Kopesha pia unga, dagaa, maharage, mchele. Utapata wengi mno

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Biashara nzuri tu; tengeneza database nzuri ya wateja wako; Mimi ukianza niwepo nataka 200,000 au laki
 
Back
Top Bottom