Wachumi naomba mbinu!

Unafanya kazi unapokea mshahara mwisho wa mwezi, basi weka akiba kila mwisho wa mwezi kwa kiwango fulani halafu ikifikia kiwango cha fedha unazotaka kuanza nazo kwa biashara husika basi anza.
 
Unafanya kazi unapokea mshahara mwisho wa mwezi, basi weka akiba kila mwisho wa mwezi kwa kiwango fulani halafu ikifikia kiwango cha fedha unazotaka kuanza nazo kwa biashara husika basi anza.
Asante sana kwa kuelewa content yangu. Excellent.. Sasa tatizo jingine hapo ni majukumuuuu.. ikifika mwisho wa mwezi mhmmhmhmhmh hizo simu sasa duhhhhhhhhhhh!
 
Hapo sasa ndo kasheshe
Unaogopa kuibiwa wazo? ok sasa onesha gharama zinazohitajika kuanzisha hiyo bisahara yako, kisha eleza kama utalamu wako una mchago wowote kwenye hiyo biashara yako, halafu onesha kipato chako kwa mwezi pamoja na matumizi yako,angalau hapo tunaweza anza kutoa ushauri
 
Mie nshajua biashara anayotaka kufanya ni pm ni kuelekeze mbinu mpya yakuifanya...kwani kwa sasa kila mbinu inajulikana,
Au we tafuta shamba lima mahindi sasa hivi ni adimu na pia hamna strategy za kuonesha kwamba hilo zao litajaa sokoni hali ni tete thamani yake sasa hivi ni kama $.
 
Habari wachumi!
Ni mbinu gani nifanye ili niweze kupata mtaji wa kuanzisha biashara tofauti na kuchukua mkopo???

Jifunze kwanza kanuni za pesa.
Nakushauri uanze kwa kusoma kitabu kidogo kinaitwa "The Richest Man in Babylon" naweza kukutumia soft copy au kukununulia kabisa hard copy kama unapenda kusoma vitabu.

Ubarikiwe
 
Jifunze kwanza kanuni za pesa.
Nakushauri uanze kwa kusoma kitabu kidogo kinaitwa "The Richest Man in Babylon" naweza kukutumia soft copy au kukununulia kabisa hard copy kama unapenda kusoma vitabu.

Ubarikiwe

Mkuu naomba soft copy ya kitabu
 
Jifunze kwanza kanuni za pesa.
Nakushauri uanze kwa kusoma kitabu kidogo kinaitwa "The Richest Man in Babylon" naweza kukutumia soft copy au kukununulia kabisa hard copy kama unapenda kusoma vitabu.

Ubarikiwe
Ni kosa kusoma kitabu ambacho unataka kufanyia wazo lako kazi,,,maarifa utakayoyasoma huwez kuyaelewa mpaka utulie na ujipe muda cha muhim ongeza maarifa bila kua na hitaji hilo kwq kipindi hicho...
 
huyu ana tamani kufanya bishara na ana muamko Ila tatizo lake anajisikiizia,,kama unataman kufnya kitu na mpka umekuj hapa kuomba ushauri na mpk sasa hujajua unataka kufanya biashara gani aisee duuuh mmmh,,, labda tu Kukusaidia jipange na uombe ushauri kwa unachtaka kufanya,,pili mtaji sio hela,mtaji ni wewe kuwepo,wazo lako,na uthubutu wako,, huo ndio mtaji muhim cz unawez kua na hela nyingiiii ila usiwe na wazo,wala usiwe na nguvu na ukashindwa kufanya cchote.. Muhim ni wewe kubadili fikra zako na kuutumi ubongo na nguvu zako kupta mtaji
 
Kama unataka kukusanya mtaji na unashindwa kutokana na majukumu unaweza ukafungua bank account DTB ambapo unaweka kiwango unachotaka wa deduct kwa mwez na kwa mda gan Kisha ukishafikia mda husika either six month to one year unapewa na riba ya 10% kulingana na kiwango kilichopo.

Iyo itakuondolea tamaa na msukumo wa kutoa ela kutokana na majukumu coz ela yako itakuwa deducted n fixed na riba juu for the period of time utayochagua ambapo utakuwa teyar na wazo lako la biashara.
 
Sony Experia Z1
Kwa kifaa unacho miliki being Yake dukani imesimama kidgo unaweza ukaiuza hio Simu then io HEla utakayo pata uka gawa kidgo uka nunua smart nyngine ata ya kilo mbili inatosha then hio HElA ilio baki ndo mtaji wako sasa
 
1. Unaweza kujiwekea akiba, sehemu ya mshahara wako unakuwa unakata kiasi fulani kwa ajili ya akiba.
2. Kuingia ubia na mtu mwenye fedha. Tafuta wazo zuri la biashara halafu utafute mtu wa kuingia ubia na mtu mwenye pesa na wewe toa utaalamu.
3. Omba pesa kwa mumeo au ndugu zako.
 
Nataka kuthubutu kwa kuanza na biashara ndogo kwanza though sijajua ni biashara gani

Hapa umeshafeli dada angu.

Atleast uwe na wazo la kuanzia ndo uliweke hapa watu wakupe mchango.
 
Tengeneza kipato cha Ziada Kwa kupata kitabu maalumu kitakacho kufanya ujue kutengeneza bidhaa mbali mbali muhimu za viwamdani nyumbani kwako na uweze kujiajiri. Kitabu hicho utakipata Kwa bei ya TSh.5,000 tu! Katika email au whatsup yako. Nipigie au whatsup 0762208190 AU 0718978295. Utachagua unacho taka kujiajiri kitaalam kupitia kitabu hicho.
 
Nina Kazi ya kunipatia mshahara kila mwisho wa mwezi... Sasa nataka kuanzisha biashara ili niweze kuwa na source tofauti za pesa. sasa nifanyeje hapo ili niweze kuanzisha biashara??
Sasa kama unakazi hifadhi huo mshahara wako kwa kupunguza matumizi ili upate mtaji, kama huwezi kuhifadhi hicho unachokipata basi achana na mawazo ya Biashara .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…