huyu ana tamani kufanya bishara na ana muamko Ila tatizo lake anajisikiizia,,kama unataman kufnya kitu na mpka umekuj hapa kuomba ushauri na mpk sasa hujajua unataka kufanya biashara gani aisee duuuh mmmh,,, labda tu Kukusaidia jipange na uombe ushauri kwa unachtaka kufanya,,pili mtaji sio hela,mtaji ni wewe kuwepo,wazo lako,na uthubutu wako,, huo ndio mtaji muhim cz unawez kua na hela nyingiiii ila usiwe na wazo,wala usiwe na nguvu na ukashindwa kufanya cchote.. Muhim ni wewe kubadili fikra zako na kuutumi ubongo na nguvu zako kupta mtaji