Wachumi, ni wapi pana nafuu kati ya awamu ya tano na ya sita?

Ni CCM wale wale sahani iliyotumika kumlishia mbwa inatumika kumlishia binadamu.
 
Unaposema mlo mmoja unamaanisha nn?
Wewe huko unashiba ndo maana hujui kama kuna watu hawapati chakula kma unavyotakiwa
Lambeni asali lakini mkukumbuke hawa wanojisa chakula iko siku watakifata kwenu na ndo mtajua maumivu ya mtu kukosa chakula kwa kusababizshiwa na wahuni
 
Hoja iliyoletwa na malumbano ya hoja hii inadhihirisha Watanzania ni watu wa aina gani kupitia kwa hii sample.
 
Nimeona leo Uingereza wanaandamana sababu ni mfumuko wa bei na maisha magumu bwashekhe! Kumbe ndiyo uchumi wao unakua hivo! Bas hawana elimu embu kawaelimishe iasee
Uchumi uko kwenye ngazi kuu 2.

Uchumi developed inflation lazima iwe chini ya 4% Sasa huko ni zaidi ya 10% Kwa nini wasiandamane?

Uchumi wa Developing Nations inflation lazima iwe kuanzia 6-9% ndio italeta investments.
 
Mental health is real!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…