Mpelekee hilo tobo ulilolikalia aanzie test hapo!Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu , Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani.
Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa wamejikomboa kiimani na kimaisha.
Kwamba hakutakiwa kuwaaga waumini?Kwamba angetakiwa kukaa kimya?Hiyo kitu inawezekana ROMA tu ambako Padri anapigiwa simu na kukatiwa tiketi ya ndege aende Vatican inakuwa imetoka hiyo.Ila kwa Lutheran sidhani.Naomba usiku na mchana, KKKT wasije wakamjibu Mchungaji Kimaro Wala kujibu chochote kutoka kwenye media. Kimaro hakutakiwa kuzungumza mambo yake kwenye public.
Mbona point Iko very clear ndugu? SI angeweza kuaga bila kutamka maneno ya kuonyesha kama anaonelewa? Haya ya Kimaro yalinikuta CCT Chuo Kikuu 2007, kwahio Nina experience na ninayoongea.Kwamba hakutakiwa kuwaaga waumini?Kwamba angetakiwa kukaa kimya?Hiyo kitu inawezekana ROMA tu ambako Padri anapigiwa simu na kukatiwa tiketi ya ndege aende Vatican inakuwa imetoka hiyo.Ila kwa Lutheran sidhani.
Leo wingu hili linakufanya akili iyumbeNi Kazi sana kuitofautisha Kijitonyama na Ufipa st!
Pesa ndo chanzo cha yote haya , hata wayahudi walimchezeshea Yesu kichapo sababu ya pesaIli kuepuka migogoro, kanisa liache kuwahamasisha waumini kutoa sadaka, tutoe kwa moyo. Watoaji tuwe wachache mapato yapungue, migogoro iishe kabisa
Hamtaki uwazi tena, hivi manabii nao walifanya mambo yao kwa kuficho? Kwa hiyo asingewaaga waumini wake?Naomba usiku na mchana, KKKT wasije wakamjibu Mchungaji Kimaro Wala kujibu chochote kutoka kwenye media. Kimaro hakutakiwa kuzungumza mambo yake kwenye public.
Mbona na wewe unaelezea your own feelings hapa?Hizo ndio hisia zako halisi. Unasingizia eti tetesi za watu, upuuzi mtupu. Mshauri aanzishe kanisa lake.
Askofu wa jimbo tena?!
Atafaa sana.Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu , Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani.
Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa wamejikomboa kiimani na kimaisha.
Mkuu,Unafikiri angekaa kimya kusingekuwa na speculations?Unafikiri kaongea kwa sababu kapenda,Binafsi naamini kabisa katika vikao vya ndani kulikuwa na fukuto na inavoonekana kitendo cha yeye kusema sio kwa ajili ya kuleta mzozo katika kanisa nachokiona ni kuondokana na unafiki wa viongozi wa dini kutumia mamlaka yao kufanya maswala ya maovu kwa kujificha nyuma ya mwavuli wa vyeo vyao.Mbona point Iko very clear ndugu? SI angeweza kuaga bila kutamka maneno ya kuonyesha kama anaonelewa? Haya ya Kimaro yalinikuta CCT Chuo Kikuu 2007, kwahio Nina experience na ninayoongea.
Hyo ndo katiba yenu.??askofu anapatikana hata akiwa mchungajiAnayepigiwa kura kuwa Askofu wa Dayosisi lazima awle Askufu wa Jimbo. Sasa mchungaji wa usharika atapigiwaje kura kuwa Askofu wa Dayosisi?
Hyo ndo katiba yenu.??askofu anapatikana hata akiwa mchungaji
Communication skillsHamtaki uwazi tena, hivi manabii nao walifanya mambo yao kwa kuficho? Kwa hiyo asingewaaga waumini wake?
Wachungaji wa mshahara nao ni tatizo! Tatizo kweli kweli!!!!!!!Mkuu,Unafikiri angekaa kimya kusingekuwa na speculations?Unafikiri kaongea kwa sababu kapenda,Binafsi naamini kabisa katika vikao vya ndani kulikuwa na fukuto na inavoonekana kitendo cha yeye kusema sio kwa ajili ya kuleta mzozo katika kanisa nachokiona ni kuondokana na unafiki wa viongozi wa dini kutumia mamlaka yao kufanya maswala ya maovu kwa kujificha nyuma ya mwavuli wa vyeo vyao.
Nimetoa mfano wa ROMA.Katika kanisa la ROMA Padri hakatazwi kusema iwapo maamuzi yanakinzana ila mara zote Maamuzi yanapofanyika yanaeleweka kwamba hayawi challenged na ukiyachallenge unakuwa umekiuka kiapo.Kwa Upande wa Lutheran Mchungaji ni mwajiriwa ambaye analipwa mshahara na iwapo kuna mgogoro kati ya mwajiri na mwajiriwa ni haki kwa mwajiriwa kulalamika hasa pale maslahi yake yanapokuwa hatarini.
Nionavyo mimi kuna mgogoro wa kimaslahi na sio mgogoro wa kimajukumu na ndio maana akaamua kuweka mambow wazi ili ahakikishe maslahi yake yanazingatiwa hata kama watamwamisha usharika.
Watakula nini?Mchungaji akiwa kwenye sharika TAJIRI kama KIJITONYAMA ana uhakika wa familia yake kuishi vizuri na yeye kuishi vizuri.Akifanya kazi na washarika vizuri na kuongeza idadi ya miradi ya kipato kwa usharika inafanya pia maslahi yake yazidi kukua.Iwapo utaona anafaidi zana matunda ya kazi yake na kutaka kumtoa na kumpeleka sehemu ambayo sadaka ni nusu kijiko na waumini ni Debe moja tena bila mantiki yoyote na kuzngatia uhalisia ni lazima kuwe na sintofahamu hasa kwa Mtu kama Kimaro ambaye amefanya kazi kubwa kutumia fursa zilizopo Kijitonyama kujenga usharika ule.Naamini kabisa viongozi wa dayosisi wanaweza kuwa na sababu za msingi kabisa ila kama lengo na sababu ni kuona kwamba SIKIO limezidi KICHWA basi nafikiri kutakuwa na TATIZO mahali katika hekima ya maamuzi yao.Ila kama lengo lao ni JEMA kwa huduma na washarika wa Kijitonyama basi nafikiri tusubiri siku 60 Zipite na tutajua mbivu na mbichi za hili sakata.Wachungaji wa mshahara nao ni tatizo! Tatizo kweli kweli!!!!!!!
JESUS IS LORD