balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Yes mwenyewe akiwa askofu mbona atawageuka?Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu , Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani.
Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa wamejikomboa kiimani na kimaisha.