Tetesi: Wachungaji kumpigia Kura Mch. Dkt. Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama kuwa Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani

Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu , Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani.

Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa wamejikomboa kiimani na kimaisha.
Yes mwenyewe akiwa askofu mbona atawageuka?
 
Yesu alikuwa seremala

Petro na nduguye Andrea walikuwa wavuvi.
Nakazia

Yesu alikua Fundi Selemara akifanya kazi ya uselama anapata nauli ya kuzunguka Galilaya na kwingineko, na kulikua na mweka hazina wa kikundi aliitwa Yuda Eskarioti ambae alimuuza na kumsaliti auawe, kwa hio wote walikua na kazi zao sio kwamba walitegemea watu wawachangie sadaka ili waisambaze na kuitangaza injili
 
Wachungaji watafute kazi zingine za kuwaingiziab kipato

Yesu alikuwa seremala

Petro na nduguye Andrea walikuwa wavuvi.

Matayo alikuwa tax officer.
Paul alikuwa ni tents maker. Kampuni yake ilikuwa
Pesa ndo chanzo cha yote haya , hata wayahudi walimchezeshea Yesu kichapo sababu ya pesa
Natafuta kanisa ambalo mkitoa sadaka mnahesabu wote kisha mnagawana sawa
 
Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu , Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani.

Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa wamejikomboa kiimani na kimaisha.
Ha ha ha!!! Utaratibu hauko hivyo KKKT!!!!
 
Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu , Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani.

Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa wamejikomboa kiimani na kimaisha.
Mnazidi kumchimbia kaburi

Lkn ni kosa kubwa kwa sababu Mch.Kimaro ameelekezwa na kutii Mamlaka iliyo juu yake
 
Anayepigiwa kura kuwa Askofu wa Dayosisi lazima awe Askufu wa Jimbo. Sasa mchungaji wa usharika atapigiwaje kura kuwa Askofu wa Dayosisi?
Kwani Diosis na jimbo ipi senior?

Askofu wa jimbo agombee kuteuliwa kuwa askofu wa Diosis!

Ama mimi ndiyo sielewi seniority ya haya makitu?
 
Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu, Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani.

Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa wamejikomboa kiimani na kimaisha.
Okay
 
Back
Top Bottom