Wachungaji kutaka fungu la kumi kwa lazima

Endeleeni kupigwa kwa mujibu wa torati mwenye haki ya kula au kupokea zaka ni mlawi na wajane walawi lilikuwa kabila mojawapo la israel ambalo lilitengwa special kwa utumishi leo hatuna walawi sasa unatoaje zaka?
Pia fungu la kumi ni special kutolewa hekaluni tu na hekalu la mungu la jengo lilikuwa ni moja tu kabla lilikuwa ni katika hema, hata ujenge majengo mengi kiasi gani ya ibada ayawezi kuwa hekalu, hivyo hekalu lilikuwa ni moja tu ulimwenguni kote.wana waisraeri walikwenda kutoa fungu la 10 hekaluni pekee.
 
Wewe usiyetoa na sisi tunaotoa hill fungu la kumi unatuzidi nini ?
 
Juma pili hii mahubiri mwanzo mwisho yalikiwa kunihusu mm tu ,mwanzo mwisho Fungu la kumi
 
Askofu Mstaafu Mdegela alisema wapo wachungaji na Maaskofu wahuni kama wahuni wengine tu
 
Wajinga ndio waliwao, walisema wahenga.

Tuachane na mambo ya gari jipya na chasis namba. Mi niko hapo kwenye kumuuguza mama. Pole sana na hongera kwa kutimiza jambo muhimu kwa mzazi... Ila hiyo dialysis ya 3M kwa mwezi, ni hosptali gani hiyo???
 
Mkuu siku hizi mimi nimesanuka nawapelekea msaada watu wenye mahitaji maalumu,kama vile wazee,wajane na mayatima au walemavu wa viongo. Hapo naamini sadaka yangu imetumika sawa sawa.
 
Kwanini unampa mchungaji simu ili iweje ??
Naumeoa ??
 
Wajinga ndio waliwao, walisema wahenga.

Tuachane na mambo ya gari jipya na chasis namba. Mi niko hapo kwenye kumuuguza mama. Pole sana na hongera kwa kutimiza jambo muhimu kwa mzazi... Ila hiyo dialysis ya 3M kwa mwezi, ni hosptali gani hiyo???
Bugando hospital
 
Kuihalisia ukifuatilia kwa umakini unaweza kuacha kwenda kanisani kabisa kwa sababu significance ya kanisa inazidi kupungua kutukana na maslahi kuwekwa mbele.
Nakushauri tu ujitahidi kubadili mtazamo na kutathmini upya mchango wa kanisa katika maisha yako.
 
Mengine yanakuja kama dhoruba kupima imani yako ni wakati mzuri wa kuonesha misimamo
Mkuu pole na huo mkasa, inaonekana wewe na Mchungaji wako wote mnahitaji Msaada.
.......Wewe kwa kosa la kutotoa zaka (10%)
.......Mchungaji wako kwa kosa la Kufanya zaka ni deni.
 
Mkuu naomba unisikilize kidogo
Wewe kama mkristo imara lazima uwe na yesu wako mwenye nguvu sasa hivi shetani achagui mtu wa kumvamia tuna watumishi wengi wa makanisani wamevamiwa na wamewezwa na shetani.
Sadaka zote unazoziona zimewekwa makanisani nyingi hata kwenye bibilia zilikua za kipindi cha agano la kale [ sheria] na huko zilikuwa.zinatokewa kwa lazima lakini tangu yesu aje na kutukomboa hatupo chini ya sheria kwaio kila kitu kizuri au kibaya unachokifanya tambua unakifanya kwa moyo wa kupenda ndio maana tumetadhaharishwa kutoipenda sana dunia na mambo yake.
Kifupi amani ya kristo iamue ndani yako ila huyo mchungaji kakosea sana tena anakufanya wewe kama mali yake binafsi as a bread win
 

 
mwambie huyo mchungaji aje nimfundishe kukaba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…