Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhhhhhh hatariMchungaji Akita gari uchangiwa na waumini, muumini akitaka gari uombewa na mchungaji
Dunia hii...🤣🤣Mchungaji anasema toa upate baraka, utanyeshewa baraka za kukuinua, hutakua mtu wa magengeni tena, hutakua mtu wa kununua mitumba tena utanunua nguo kwenye ma shoping mall na mahitaji yako yatatoka supermarket.
Hizi hela tulizonazo tungeamua kuwa watu wa manunuzi ya supermarket na shopping malls tusingebaki na hela ya kuwapa nyinyi. Vitu nya magengeni ni fresh zaidi kuliko vya supermarket.
Muwe mnafikiria kabla ya kutoa kakuli zenu. Wenye magenge pia wana familia za kulisha na watoto wa kusomesha.
🤣Mchungaji Akita gari uchangiwa na waumini, muumini akitaka gari uombewa na mchungaji
Pole sana kijana, ila binadamau yeyote alicho nacho kikiwa na msaada kwake hana haja ya kubabaishwa na MALIMBUKENI wa nyuma za KEYBOARD kama wewe... Na hilo darasa la 4 nilisoma mwaka 1993 pale Yombo Dovya kabla sijaenda Forodhani, Tambaza na MUHIMBILI...huyu bado hajapona na hajajua anaumwa nini. na ukute amemaliza la 4!
Janga kubwa hapa sio mchungaji wala mtoaji, janga kubwa ni maarifa, mchungaji asimame kama kuhani kwa sehemu yake na wewe usimame kama muumini kwa kuchota maarifa ya kweli kwenye neno. Kama mchungaji wako haendi sawasawa na neno maamuzi ni yako kusuka au kunyoa mkuu. Full stopMchungaji anasema toa upate baraka, utanyeshewa baraka za kukuinua, hutakua mtu wa magengeni tena, hutakua mtu wa kununua mitumba tena utanunua nguo kwenye ma shoping mall na mahitaji yako yatatoka supermarket.
Hizi hela tulizonazo tungeamua kuwa watu wa manunuzi ya supermarket na shopping malls tusingebaki na hela ya kuwapa nyinyi. Vitu nya magengeni ni fresh zaidi kuliko vya supermarket.
Muwe mnafikiria kabla ya kutoa kakuli zenu. Wenye magenge pia wana familia za kulisha na watoto wa kusomesha.
Ni kweli sadaka in abaraka ila ina kanuni zakeMatatizo ya mwanadamu yamekuwa mitaji kwa wamiliki wa makanisa ya leo, sehemu kubwa ya ibada inakuwa inamlazimisha muumini atoe sadaka ili abarikiwe.
Wewe ni maskini kwani?Yule masikini aliyetoa centi mbili Yesu alisema alitoa kuliko wote. Unatoa ulicho nacho na kiheshimiwe. Usiheshimu waliotoa vikubwa.
Baada ya Mahangaiko ya muda mrefu yaani maombi ya ninakosali na sehemu zingine PAMOJA na visomo vya dua ,,,, vyote hivyo vilikuwa vinapunguza tu kwa muda shida zangu.....na safari za hospitali bila ahueni yoyote (Mind you kwamba am also a Medical Personel) nikiamini ni magonjwa tu ya akili haswa huyu aliyeanza kuchizika baadaye nikaona niende kwa mmoja wa hawa maarufu ila nilifanya kusikilizia shuhuda zao nipate japo kwa mwanga ka uhakika wa utumishi wao..Ulijuaje ni mamaako wa kambo?
Europe sasa hawatumii sana majina ya bible kama miaka ile, yaani kama sisi huku wazazi walivyo proud ndivyo nao miaka hiyo walikua (OP)Hao wachungaji wengi ni wapigaji, ebu chukulia watu kama Kina Gwajima wanacheza hadi porno, angalia mwingira anazaa hadi na wake za watu, angalia Lusekelo anapiga hadi NYAGI na kutukana majirani, Mwamposa anawauzia watu maji kwa bei ya juu yaani ulanguzi na wizi, sasa wachungaji matapeli kama hao ndio wataongea mambo ya maana?
Kuna mmoja kapata ajali majuzi akitoka Arusha yeye kila siku anahubiri mambo ya mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke kwenye altare, kawapata wajinga wengi wanaonunua viCD vyake sasa kero mkiwa kwenye mabasi mambo anayoongea hadi unaona aibu kama kwenye basi upo na mwanao au mama yako au baba yako au dada yako. Mimi hawa watu nawaita wajasiriadini.Hao wachungaji wengi ni wapigaji, ebu chukulia watu kama Kina Gwajima wanacheza hadi porno, angalia mwingira anazaa hadi na wake za watu, angalia Lusekelo anapiga hadi NYAGI na kutukana majirani, Mwamposa anawauzia watu maji kwa bei ya juu yaani ulanguzi na wizi, sasa wachungaji matapeli kama hao ndio wataongea mambo ya maana?
Pole sana broBaada ya Mahangaiko ya muda mrefu yaani maombi ya ninakosali na sehemu zingine PAMOJA na visomo vya dua ,,,, vyote hivyo vilikuwa vinapunguza tu kwa muda shida zangu.....na safari za hospitali bila ahueni yoyote (Mind you kwamba am also a Medical Personel) nikiamini ni magonjwa tu ya akili haswa huyu aliyeanza kuchizika baadaye nikaona niende kwa mmoja wa hawa maarufu ila nilifanya kusikilizia shuhuda zao nipate japo kwa mwanga ka uhakika wa utumishi wao..
Nilipoenda nikapigwa maombi na familia yangu nzima na kuambiwa baada ya siku chache kuna kitu kitatokea na wala sikuambiwa ni nani alifanya kitu gani kwangu...
Baada ya siku 4 nikapata majibu ya shida iliyoniganda kwa miaka 9 na zaidi.... Mzee wangu alinipigia simu na kunieleza yaliyokuwa yanayotokea huko nyumbani na yeye mwenyewe alishangazwa nayo, maana huyu mama ilibidi atamke yeye mwenyewe matendo yake,,,, wakati huu vile vile hata mimi na mzee wangu hatukuwa na maelewano mazuri saana kwasababu ya huyu mtu. Kikaitishwa kikao cha familia lakini nikagoma kwenda kwakuwa niliyotendewa yalinitosha. Baadaye nikamfuata Mzee na kuongea naye tu binafsi na sasa maisha yako poa sana tena saaaaana,,,,
Haikuwa rahisi kwenda kufanyiwa maombi tena ya binafsi kwakuwa mimi mwenyewe Jumapili moja hivi mwaka 2013 nikiwa zamu hospitali moja ya serikali wilaya ya Kinondoni kuna watu wawili, wakike na kiume walikuja. Yule mmama wa makamo hivi alikuja moja kwa moja eneo la Minor Theatre na kuongea na nesi wa zamu kuwa yule mwenzake wa kiume aliye naye awekewe drip, tena walikuwa na GIVING SET na DRIP yao wenyewe tayari ,,, halafu akasema YULE KIJANA APAKIWE KWENYE AMBULANCE apelekwe KANISA moja maeneo ya SINZA ili ikaonekane kuwa katoka Hospitali akiwa hoi... Watu wakapiga hela na kweli wakampeleka huko KANISANI na kuna watu najua siku hiyo walidanganywa vizuri...
So kwa akili yako ya kawaida tu ya utambuzi utajua hapa unapigwa au kuna ukweli... lakini wa ukweli wapo na sisi tumetendewa na tutazidi kuwa na imani kwa kuwa tunaendelea kutendewa.....
Acha kabisa mimi bibi yangu alienielea nae ameeingia kwenye haya makanisa hasikii haelewi, na vile alikua na vipesa mara waje wafanye maombi nyumbani awaekee mafuta na pesa awape, siku moja nikakuta kawapa sadaka milion mbili na nusu yani nilikasirika mpk basi. Bibi mwenyewe akipata pesa zake tu zile wanazopewa kila mwezi wastaafu yeye lazima awape wale wa safina. Ninaudhika haelewi wale vijana badala walee wazee yeye ndio anawapa pesa.Aisee yule mwalimu mzee sijui yuko wapi Sasa....
Imani ilimuingia mno MWALIMU WANGU YULE hwenda sasa atakuwa na upako wa kumpeleka ufalme wa mbinguni.....
Nilikutana naye Mwenge miaka 5 iliyopita na akanipiga "virungu vya kutosha".....
Ticha langu hilo ,kwa kuwiwa na DINI aliitoa nyumba yake wakfu kwa MCHUNGAJI desh desh....
Akabaki kupanga pale K/ndoni STUDIO....vyumba viwili na mkewe mtu mzima MWENZAKE.....
Sijajua kama uamuzi wa kuitoa nyumba yake ya TEGETA aliwashirikisha wanae akina TN na CA......
Aaaagh ufalme wa mbingu kazi kwelikweli 🤣🤣
Dini ukitanguliza UPOFU wa fikra huwa ni utumwa....Acha kabisa mimi bibi yangu alienielea nae ameeingia kwenye haya makanisa hasikii haelewi, na vile alikua na vipesa mara waje wafanye maombi nyumbani awaekee mafuta na pesa awape, siku moja nikakuta kawapa sadaka milion mbili na nusu yani nilikasirika mpk basi. Bibi mwenyewe akipata pesa zake tu zile wanazopewa kila mwezi wastaafu yeye lazima awape wale wa safina. Ninaudhika haelewi wale vijana badala walee wazee yeye ndio anawapa pesa.
Sasa wewe huku unapambana unamrushia bibi pesa asogeze maisha yani unaambiwa akipokea tu msg ya mpesa kesho yupo anawapelekea sadaqa. Yan unakereka unamhudumia mzazi hao wachungaj kanjanja wanakula pesa ya bb kirahisi
Bro inakera umepata kipesa chako kwa kuangaika unamrushia huko mkoani ili nae aone zile ada alizomlipia mjukuu wake zinarudi, yan hapo ndo unampigia ili umuulize kama umepata pesa ulomtumia anakunjibu asante yesu nimepata sadaka kesho niende safina. Ukisikia hvo unatamani kumwambia em nirejeshee pesa yangu sema ndo hivo ukishampa na umeeka nia kua ni sadaqa yako kwa mzazi uanabaki tu kimya uanjimind. Na hii asikuambie mtu imnifanya nipunguze kiasi cha kumtumiaDini ukitanguliza UPOFU wa fikra huwa ni utumwa....
Pole sana kwa kuumizwa na bibi yako......
Haya mambo yana muda.....upepo utapita....watoto wetu na wajukuu zetu hawatokuwa wajinga....
Siku hizo zikifika wataitwa "kizazi cha nyoka" na mafulafula wenye kutanguliza "mazoea".....
Wacha maisha ya KIDIGITALI yaendelee tu....🤣🤣🤣