Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hiyo ndio sehemu pekee ya Biblia unayoifahamu kwa kukariri kabisa na haitatoka kichwani kamwe nini?KView attachment 2861971View attachment 2861972umbe kuna mtu alimwaga nje na wachungaji hamsemagi😂😂 someni Mwanzo 38:9..!😂🙌
Sana kumbe yalianzia mbali😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila watu ni wakorofi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hiyo ndio sehemu pekee ya Biblia unayoifahamu kwa kukariri kabisa na haitatoka kichwani kamwe nini?
Endelea mpaka 10KView attachment 2861971View attachment 2861972umbe kuna mtu alimwaga nje na wachungaji hamsemagi[emoji23][emoji23] someni Mwanzo 38:9..![emoji23][emoji119]
Nimeona Mkuu,mbona mahubiri ya hilo neno kuanzia 9-10 huwa hayasomwi na kusemwa?!!Endelea mpaka 10
Umeshawahi kusikia popote hilo neno likisomwa ama kuhubiriwa?!!
Hembu fungua hilo andiko kwenye bible yako then tuma pichaEti "akamwagia chini" hahaha mbona neno limekaa kuhuni sana hiloooo!
Kwa kweli hapana.Umeshawahi kusikia popote hilo neno likisomwa ama kuhubiriwa?!!
Hapo ndipo tatizo linapoanzia hatusomi Kwa muendelezoHahahah,ukishasoma Mwanzo 38:9
Soma tena Mwanzo 38:10