Wachungaji na watu wa dini mbona hili hamsemagi?!!

Wachungaji na watu wa dini mbona hili hamsemagi?!!

Hahahaha,sadaka tu ndio hutumwa hapo hapo,ili mtu apate upako inabidi awe sambamba na mhubiri,hata bwana Masia hakuwahi kuhubiri kwa Bluetooth,alifanya ana kwa ana!!
Sadaka na upako(anointing /nguvu za Mungu)havihusiani!
Unaweza toa na usipate huo upako,ingekuwa rahisi hivyo mbona Kila mtu angekuwa anafanya hivyo.
Watu wengi hawajapata SoMo au mafunuo sahihi ya utoaji ndo maana kutwa kucha kuwasema watumishi na makanisa!
Lkn ukijua kutoa ni nn ,na nn kinafanyika unapitoq,hutahangaika kabisa !

Yesu alifanya ana Kwa ana!
Biblia inaniambia maarifa yataongezeka siku za mwisho, ss usishangae kuangalia mahubiri utube mkuu!
Upande wa pili wanajua haya😅
 
Kumbe kulana mashemeji kumeanza tangu zamani? Aisee Watu wazamani walikua wazinzi Sana[emoji29]
 
Malisa anakutajia hadi jina la mganga wako shamba huko.isije ikawa ndo yesu mwenyewe
Aah mbona kawaida tu mkuu!
Wala hiyo isije shida!

Hata wenye pepo la utambuzi Wana uwezo huo!

Cha msingi we jua njia ni Yesu sio mtumishi,hao wanatumika tu
 
Aah mbona kawaida tu mkuu!
Wala hiyo isije shida!

Hata wenye pepo la utambuzi Wana uwezo huo!

Cha msingi we jua njia ni Yesu sio mtumishi,hao wanatumika tu
Mbona wale wa makanisa makubwa hawana haya mambo?
 
Kuna mwamba pia alimwaga nje. Kama sio yuda huyo?
 
Back
Top Bottom