Wachungaji nendeni Shinyanga mkawaombee wananchi

Mtuache na imani zetu..bora dini za asili huwezi kuta machoko..kwanza ndio zilizolea na kukuza umoja na mshikamano kwa wazee wetu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni Imani yao kama vile wewe ulivyoamua kuamini stories za dini za watu wa Mashariki ya Kati na Israel
 
Kila mmoja na Imani yake. Wewe Baki na Yesu wako wengine na Imani zao
 
TATIZO sio usukumani pekee, sehemu nyingi Tanzania hata Afrika kwa ujumla, imani zote zinaenda pamoja. Watu wakitoka kanisani kwenye maombi, wanaelekea kwenye matambiko na ushirikina wa kila aina. Wanaita utamaduni.

Nakumbuka nyakati fulani nilikuwa mji fulani uliokuwa ukivuma sana kwa makanisa mengi, nikakuta mzozo mkubwa sana kwenye kanisa moja la Assemblies of God wanakosali ndugu zangu. Niliduwaa sana kusikia washarika kadhaa wakidai baadhi ya wazee wa kanisa ni wachawi!; wanamroga mwenzao mmoja na familia yake kwa kuwadhibiti sana kwenye masuala ya makusanyo na matumizi kanisani.

Sasa sijui injili gani itasaidia.
 
ndio zilikwepo kabla wazungu hawajakuletea ukristo, kwa hiyo wewe ndio unatakiwa ujishangae
 
Hakuna haja ya wachungaji hio ndio imani yao kila mtu ana Uhuru wa kuabudu. Wewe upo sawa na imani yako na wao pia hawajakosea
Huoni kwamba ndio maana wanakatana mapanga kila leo na matukio ya ajabuajabu
 
Ukemee kwa lipi wakati ni imani yao......wewe una uhakika gani na hio imani yako imported
Wewe huoni kwamba imani za kishirikina hata mtu akifa kwa ajari wanaamini amerogwa ndio maana utaskia wamekatana mapanga, haya mambo ni yakukemea, msiwavimbishe vichwa
 
hapo kila mtu achague imani rakni kwaupande wa wale wanao amini uganga kuna madhara makubwa sana tofaut na wanaoamini MUNGU

hawa wa upande wapili wapili wanauana sana, wachungaji wa kwel waingilie wakemee itapunguza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…