jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Wewe kapambane na dini za wazungu..dini zetu za asili wewe hazi kuhusu.kazi ipo
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kapambane na dini za wazungu..dini zetu za asili wewe hazi kuhusu.kazi ipo
Mbona na nyie huko mnaibia watu kwa mgongo wa sadaka...mambo yaleyale tu na nyie inabidi tuwakemee piaWewe huoni kwamba imani za kishirikina hata mtu akifa kwa ajari wanaamini amerogwa ndio maana utaskia wamekatana mapanga, haya mambo ni yakukemea, msiwavimbishe vichwa
Shida unaposema Mungu, kila mtu ana namna yake ya uelewa wa Mungu, Mungu hayupo fixed tu kwenye ukristo na uislam......wazee wetu kabla hata ya hizo dini walishatambua uwepo wa Mungu na usilazimishe kwamba Mungu yupo hivi au vile kutokana na mapokeo yako ya hizo dini zilizoletwahapo kila mtu achague imani rakni kwaupande wa wale wanao amini uganga kuna madhara makubwa sana tofaut na wanaoamini MUNGU
hawa wa upande wapili wapili wanauana sana, wachungaji wa kwel waingilie wakemee itapunguza
Haya mambo yanapaswa kukemewa kwa nguvu zote mkuu sio mtu anazikwa kwenye gozi ya ng'ombe
#naby keita. Umempatia mwongozo sahihi kabisa hizi dini zingine tumeletewa tuShida unaposema Mungu, kila mtu ana namna yake ya uelewa wa Mungu, Mungu hayupo fixed tu kwenye ukristo na uislam......wazee wetu kabla hata ya hizo dini walishatambua uwepo wa Mungu na usilazimishe kwamba Mungu yupo hivi au vile kutokana na mapokeo yako ya hizo dini zilizoletwa