Wachungaji wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani:Imekuwaje mnampigia makofi mtu ambaye akemie watu kutekwa?

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Katika Biblia takatifu tunafundishwa kuchukia na kukemea dhambi zote. Kuanzia Wizi, Uzinzi, Kuua, Kuonea watu, zinaa pamoja na matendo maovu yakiwemo ya ubakaji na ulawiti.

Kwa kipindi kirefu kumekuwa na matukio ya wakosoaji wa Serikali kutekwa, Kuuwawa, Kubakwa na kulawitiwa( Udhalilishaji wa kingono). Matukio haya yamethibitishwa na watu mbalimbali waliofanyiwa vitendo hivyo wakiwemo wanaharakati wa Kenya na Uganda Boniface Mwangi na Agather Atuhaire.

Nyie mmesoma theolojia miaka zaidi ya 3. Nyie mnasoma Biblia na kufundisha matendo mema kila siku.

Ingekuwa ni mkutano wa CCM tungeelewa ila kwa sababu ni nyie lazima tuwaulize. Imekuwaje mnampigia makofi mtu anayehusishwa na Watanzania kutekwa, kuuwawa na kufanyiwa ukatili wa Kingono ikiwemo sodomy?
 
Dawa ni kugoma kutoa sadaka... tumechangishwa kitopeni wee kumbe wana option B ambayo jamaa kapewa ma millioni, sasa waje tena hatutoi na kama mbiguni wanaenda kwa style hii basi tusiende.

Askofu umetukosea sana tena sana.
Wachumgaji maskini hawana sauti wao ni kama sisi tu ukisema kinyume na Askofu mkuu unaitwa kitimoto na ukizubaa ùnatengwa kabisa na kanisa.
 
Ingekuwa ni mkutano wa CCM tungeelewa ila kwa sababu ni nyie lazima tuwaulize. Imekuwaje mnampigia makofi mtu anayehusishwa na Watanzania kutekwa, kuuwawa na kufanyiwa ukatili wa Kingsnorth ikiwemo sodomy?
Unafiki utakuua.
Wewe umeshindwa nini kujiunga na seminari ili ukaisimamie serikali?
 
Katika Biblia takatifu tunafundishwa kuchukia na kukemea dhambi zote. Kuanzia Wizi, Uzinzi, Kuua, Kuonea watu, zinaa pamoja na matendo maovu yakiwemo ya ubakaji na ulawiti.

Kwa kipindi kirefu kumekuwa na matukio ya wakosoaji wa Serikali kutekwa, Kuuwawa, Kubakwa na kulawitiwa( Udhalilishaji wa kingono). Matukio haya yamethibitishwa na watu mbalimbali waliofanyiwa vitendo hivyo wakiwemo wanaharakati wa Kenya na Uganda Boniface Mwangi na Agather Atuhaire.

Nyie mmesoma theolojia miaka zaidi ya 3. Nyie mnasoma Biblia na kufundisha matendo mema kila siku.

Ingekuwa ni mkutano wa CCM tungeelewa ila kwa sababu ni nyie lazima tuwaulize. Imekuwaje mnampigia makofi mtu anayehusishwa na Watanzania kutekwa, kuuwawa na kufanyiwa ukatili wa Kingsnorth ikiwemo sodomy?
Wenye nchi ndio wenye dini sie wengine ni panya tu..
 
Dawa ni kugoma kutoa sadaka... tumechangishwa kitopeni wee kumbe wana option B ambayo jamaa kapewa ma millioni, sasa waje tena hatutoi na kama mbiguni wanaenda kwa style hii basi tusiende.

Askofu umetukosea sana tena sana.
Wachumgaji maskini hawana sauti wao ni kama sisi tu ukisema kinyume na Askofu mkuu unaitwa kitimoto na ukizubaa ùnatengwa kabisa na kanisa.
Kweli kabisa. Alafu KKKT wengi wanajielewa sana hawana mambo ya kipuuzi
 
Katika Biblia takatifu tunafundishwa kuchukia na kukemea dhambi zote. Kuanzia Wizi, Uzinzi, Kuua, Kuonea watu, zinaa pamoja na matendo maovu yakiwemo ya ubakaji na ulawiti.

Kwa kipindi kirefu kumekuwa na matukio ya wakosoaji wa Serikali kutekwa, Kuuwawa, Kubakwa na kulawitiwa( Udhalilishaji wa kingono). Matukio haya yamethibitishwa na watu mbalimbali waliofanyiwa vitendo hivyo wakiwemo wanaharakati wa Kenya na Uganda Boniface Mwangi na Agather Atuhaire.

Nyie mmesoma theolojia miaka zaidi ya 3. Nyie mnasoma Biblia na kufundisha matendo mema kila siku.

Ingekuwa ni mkutano wa CCM tungeelewa ila kwa sababu ni nyie lazima tuwaulize. Imekuwaje mnampigia makofi mtu anayehusishwa na Watanzania kutekwa, kuuwawa na kufanyiwa ukatili wa Kingsnorth ikiwemo sodomy?
Wachumia tumbo wakubwa!
 
Nimeshangaa kile alichokizungumza Yule short wa dari salama kanisani, alipewa nafasi ya kutoa salamu ila ajabu akapiga siasa tu zisizo na maana
 
Kanisa linatumika kutakatisha maovu badala ya kuwaongoza waovu kuacha dhambi na kutubu!!
Very sad and shame...
Mala suusa is used in a very different way and he's destroying the church
 
Katika Biblia takatifu tunafundishwa kuchukia na kukemea dhambi zote. Kuanzia Wizi, Uzinzi, Kuua, Kuonea watu, zinaa pamoja na matendo maovu yakiwemo ya ubakaji na ulawiti.

Kwa kipindi kirefu kumekuwa na matukio ya wakosoaji wa Serikali kutekwa, Kuuwawa, Kubakwa na kulawitiwa( Udhalilishaji wa kingono). Matukio haya yamethibitishwa na watu mbalimbali waliofanyiwa vitendo hivyo wakiwemo wanaharakati wa Kenya na Uganda Boniface Mwangi na Agather Atuhaire.

Nyie mmesoma theolojia miaka zaidi ya 3. Nyie mnasoma Biblia na kufundisha matendo mema kila siku.

Ingekuwa ni mkutano wa CCM tungeelewa ila kwa sababu ni nyie lazima tuwaulize. Imekuwaje mnampigia makofi mtu anayehusishwa na Watanzania kutekwa, kuuwawa na kufanyiwa ukatili wa Kingono ikiwemo sodomy?
Kwenye msafara wa mamba........
 
Kenya kanisa lilipewa msaada na mwanasiasa, wakakataa na kuzirudisha zile pesa

Tz wengi wa watumishi wa dini nao ni chawa, njaa kali na wanahofu kuikosoa serikali
 
Tutafikisha ujumbe kwakutokutoa sadaka mtapata habari yenu
 
Katika Biblia takatifu tunafundishwa kuchukia na kukemea dhambi zote. Kuanzia Wizi, Uzinzi, Kuua, Kuonea watu, zinaa pamoja na matendo maovu yakiwemo ya ubakaji na ulawiti.

Kwa kipindi kirefu kumekuwa na matukio ya wakosoaji wa Serikali kutekwa, Kuuwawa, Kubakwa na kulawitiwa( Udhalilishaji wa kingono). Matukio haya yamethibitishwa na watu mbalimbali waliofanyiwa vitendo hivyo wakiwemo wanaharakati wa Kenya na Uganda Boniface Mwangi na Agather Atuhaire.

Nyie mmesoma theolojia miaka zaidi ya 3. Nyie mnasoma Biblia na kufundisha matendo mema kila siku.

Ingekuwa ni mkutano wa CCM tungeelewa ila kwa sababu ni nyie lazima tuwaulize. Imekuwaje mnampigia makofi mtu anayehusishwa na Watanzania kutekwa, kuuwawa na kufanyiwa ukatili wa Kingono ikiwemo sodomy?

Nyuma ya pazia kilichopo kati ya KKKT na CCM
 
Attachments

  • TAZAMA VITUKO VYA MBUNGE BWEGE, MBELE YA WAANDISHI.mp4
    7.9 MB
Back
Top Bottom