Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Wanamuiga bosi wao😁Sijui kama ni mimi tu, hivi kuna tatizo gani kila mhubiri anayehubiri upendo tv, awe mchaga, mhaya, mndengereko, msukuma au mnyakusa nakadhalika, ANAIGA SAUTI YA MWAKASEGE? au ndio wanaamini kuhubiri ni kutumia sauti ya mwakasege? yule mwenzeni ile sauti ni ya kinyakyusa, pamoja na kuishi Arusha kwa miaka mingi lafudhi ya kinyakyusa haijamwondoka....wanaiga kuongea, kutembea, kuimba, gestures, kutunisha kifua, kupandisha mabega kila kitu. hivi kama mnamhubiri Mungu kweli kwenye mahubiri yenu, Mungu hawezi kuwapatia sauti ya kwenu? na wakitoka pale madhabahuni wanaongea lafudhi zilezile tu, au mnahubiri kimwili kwa kuiga vile mtu mwingine anavyofanya?
wooote, hakuna hata mmoja. ukiwaangalia hadi wanatia huruma jinsi wanavyohangaika kukoroma kwama mwalimuWataje kwa majina alaf ndio tutajuankama ni kweli ama unawasingizia
kwani kuhubiri lazima uige sauti ya mtu, wakati unayo ya kwako? au semina za spoonfeeding zimewaharibu, mnaamini mwalimu ni mtakatifu na ukihubiri kama yeye ndio kuhubiri kwenyewe? au nini kwani?ulitaka waige sauti ya Hamornize au Diamond et
Wajinga ndiyo waliwao.Sijui kama ni mimi tu, hivi kuna tatizo gani kila mhubiri anayehubiri upendo tv, awe mchaga, mhaya, mndengereko, msukuma au mnyakusa nakadhalika, ANAIGA SAUTI YA MWAKASEGE? au ndio wanaamini kuhubiri ni kutumia sauti ya mwakasege? yule mwenzeni ile sauti ni ya kinyakyusa, pamoja na kuishi Arusha kwa miaka mingi lafudhi ya kinyakyusa haijamwondoka....wanaiga kuongea, kutembea, kuimba, gestures, kutunisha kifua, kupandisha mabega kila kitu. hivi kama mnamhubiri Mungu kweli kwenye mahubiri yenu, Mungu hawezi kuwapatia sauti ya kwenu? na wakitoka pale madhabahuni wanaongea lafudhi zilezile tu, au mnahubiri kimwili kwa kuiga vile mtu mwingine anavyofanya?
Hapo unaonesha umekasirika kwa chuki za kijinga tu.Mm huwa sielewagi kwann masheikh wote wanapohubiri wanakuwa na lafudhi ya waarabu koko.
Hujapata taarifa? Kipindi hiki cha Ramadhan shetani kafungwa minyororo.Wajinga ndiyo waliwao.
Sijapata.Hujapata taarifa? Kipindi hiki cha Ramadhan shetani kafungwa minyororo.
Kumbe MWAKASEGE ni mchaga!Sijui kama ni mimi tu, hivi kuna tatizo gani kila mhubiri anayehubiri upendo tv, awe mchaga, mhaya, mndengereko, msukuma au mnyakusa nakadhalika, ANAIGA SAUTI YA MWAKASEGE? au ndio wanaamini kuhubiri ni kutumia sauti ya mwakasege? yule mwenzeni ile sauti ni ya kinyakyusa, pamoja na kuishi Arusha kwa miaka mingi lafudhi ya kinyakyusa haijamwondoka....wanaiga kuongea, kutembea, kuimba, gestures, kutunisha kifua, kupandisha mabega kila kitu. hivi kama mnamhubiri Mungu kweli kwenye mahubiri yenu, Mungu hawezi kuwapatia sauti ya kwenu? na wakitoka pale madhabahuni wanaongea lafudhi zilezile tu, au mnahubiri kimwili kwa kuiga vile mtu mwingine anavyofanya?
na wewe bibi kizee naona umeibuka, si upo kwenye mfungo wewe, nikaribishe futari basi.Wajinga ndiyo waliwao.