Wachungaji wa Upendo TV kumuiga Mwakasege

Hapo unaonesha umekasirika kwa chuki za kijinga tu.

Ndiyo walewale.
Kwani uwongo. Sheikh hata akiwa msukuma aliyekulia usukumani huko akihubiri unaweza fikiria ametoka mombasa kwa waarabu koko, shida ni gani?
 
Ndio Maana Rais wa Rwanda aliwahi Kusema Kuwa kila anayeanzisha Kanisa ktk nchi yake awe na Elimu ya Theolojia.Kagame Alikuwa sahihi sana Maana Kuna Upuuzi mwingi sana unaoendelea kwa Wachungaji wetu uchwara.
 
Aisee umeongea upuuz wa mwaka. Sasa wewe unafuatilia sauti au ujumbe. Hii nchi wajinga hawaishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…