Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana, ila pia kwa dodona jiji hakuna jipya, hilo ni tawi lao tiifu, maagizo na vibahasha vimetumikaKuna kila dalili kuwa hawa Vyura FC wamerudia issue zao za sindano.
Naomba mamlaka ziingilie kati na uchunguzi ufanyike.
Watishiwe kuwa viwanja vinafungwa camera uone watakavyotafutana.Kuna kila dalili kuwa hawa Vyura FC wamerudia issue zao za sindano.
Naomba mamlaka ziingilie kati na uchunguzi ufanyike.
ACha wivu weweeè boli inakutisha?Kuna kila dalili kuwa hawa Vyura FC wamerudia issue zao za sindano.
Naomba mamlaka ziingilie kati na uchunguzi ufanyike.
Anzisha huo uchunguzi uwe unalals na wachexaji kambini.....then uwalete wale hawana syriking force hadi penalties ndio watoboeKuna kila dalili kuwa hawa Vyura FC wamerudia issue zao za sindano.
Naomba mamlaka ziingilie kati na uchunguzi ufanyike.
Kama wanafaidi na sisi tutumie
Kuna kila dalili kuwa hawa Vyura FC wamerudia issue zao za sindano.
Naomba mamlaka ziingilie kati na uchunguzi ufanyike.
Hatimae vilio vimeanza kulejea taratibu subiri tuwapige ✊ tena akili ziwakae sawa
Kuna kila dalili kuwa hawa Vyura FC wamerudia issue zao za sindano.
Naomba mamlaka ziingilie kati na uchunguzi ufanyike.
Uzuri Yanga hua haichagui wakupiga huu moto wa 4G lazima utapita naonyau wakiwaza mechi zao wanashinda kwa hisani ya refa, spidi ya wananchi inawapa presha
mangungu lazima amwite mtu mara 3Uzuri Yanga hua haichagui wakupiga huu moto wa 4G lazima utapita nao
Sasa mlitaka muwe mnafungwa pekee yenu tuu? Mnawaonea wivu dodoma jiji kufungwa 4 wakati ninyi mlifungwa 1?Kuna kila dalili kuwa hawa Vyura FC wamerudia issue zao za sindano.
Naomba mamlaka ziingilie kati na uchunguzi ufanyike.
Umtafute bosi wenu Mo na mangungu ndio wafanye uchunguzi ndio mtapata majibu sahihi,,mamlaka zinaweza zisiwape majibu sahihiKuna kila dalili kuwa hawa Vyura FC wamerudia issue zao za sindano.
Naomba mamlaka ziingilie kati na uchunguzi ufanyike.
Eb fafanua zaidi mkuuKuna kila dalili kuwa hawa Vyura FC wamerudia issue zao za sindano.
Naomba mamlaka ziingilie kati na uchunguzi ufanyike.