Wachunguzwe vizuri kabla ya Mechi

Wachunguzwe vizuri kabla ya Mechi

Wewe kolo fc lalamika weee lakini 5G inakuhusu tena. Maana mliowafanyia wachezaji nje ya uwanja mnayajua.wenyewe.
Ndio.maana kila siku mnaongelea sindano.
Point 3 zetu mzilete mapema.sana kujiepusha na aibu itakayowakuta.
 
Kuna kila dalili kuwa hawa Vyura FC wamerudia issue zao za sindano.
Naomba mamlaka ziingilie kati na uchunguzi ufanyike.View attachment 3185370
Makolo mmeanza mkiona timu bora inapata matokeo mazuri mnaanza kelele mara mhame ligi, mara GSM kudhamini timu nyingi mara sindano au na nyinyi mmesahau kipind kile mnafanya vizuri zilitoka taarifa kuwa vyumba vya kubadilishia nguo timu pinzani mlikuwa mnapuliza dawa makolo tunawakuta hapo kilimani na tutaongoza ligi siku si nyingi Singida black stars hakuachi ana kikosi bora kuliko makolo
 

Attachments

  • IMG_20241226_095158_888.jpg
    IMG_20241226_095158_888.jpg
    76.2 KB · Views: 3
Tutaona kwa Mazembe!
Yaani mashabiki wa Simba saa zingine sijui akili mnazipeleka wapi, hao Mazembe ni timu ngeni kwa Yanga? Hawakucheza first leg kule Lubumbashi na wakaishia kulala chini kwa majonzi baada ya filimbi ya mwisho? Kipindi cha pili chote wanaandamwa na mashambulizi hadi Yanga wakasawazisha
 
Makolo mnapitia nyakati ngumu sana. Kila siku mnaamua wenyewe kujibebesha fikra za ajabu ajabu kuhusu Yanga na wala haziwasaidii zinawafariji kwa muda fulani lakini Yanga anazidi kwenda tu.
 
Back
Top Bottom