Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Kwani China inawaspy Ulaya? Au sijakuelewa?Marekani anajua jinsi alivyotumia teknolojia kuspy wenzake. Hawezi kukubali China amfanyie hivyo hivyo.
Umeandika kishabiki mnoUholanzi walikuwa na kampuni ya inayoitwa Nexperia ya kutengeneza semiconductors ambayo ilikuwa inaelekea kufirisika.
Wakaja wawekezaji wa Kichina kampuni ya Wingtech Technology Co wakainunua Nexperia. Hivyo Nexperia ikawa ni kampuni tanzu ambayo inamilikiwa kihalali na Wingtech ya China.
Na kuanzia hapo ikawa inafanya vizuri sana kwenye utengenezaji wa semiconductors.
Takwimu za karibuni zinaonyesha Nexperia produces over 100 billion components kwa mwaka.
Karibu sehemu kubwa ya viwanda vya magari na viwanda vya vifaa vya umeme barani Ulaya na duniani vinaitegemea Nexperia kama supplier wao wa semiconductors.
Wakati wa hili vuguvugu la vita vya kiuchumi Marekani ikaishawishi Uholanzi ifanye namna kuikwamisha kampuni ya Wingtech ya China inayomiliki Nexperia.
Kama kawaida kibaraka akamtii bwana wake mkubwa. Serikali ya Uholanzi ikaipokonya Wingtech umiliki wa Nexperia. Wakaubadilisha uongozi wakamtoa CEO Mchina wakamweka Mholanzi wakidai kuwa hilo badiliko ni temporary.
Mchina alichowaweza Wadachi mapema tu baada ya kuinunua Nexperia, wakahakikisha zaidi ya 80% ya uzalishaji unafanyika China huku majengo ya HQ yakibakia Uholanzi na sehemu ndogo ya uzalishaji ukifanyika Ujerumani, Uingereza, n.k.
Walichofanya Nexperia China (Wingtech) ambako ndiko kuna uzalishaji mkubwa wa semiconductors na vifaa vya kutengenezea semiconductors wakazuia exportation kwenda Ulaya.
Hii inamaanisha hata viwanda vya Nexperia vilivyopo Uingereza na Ujerumani haviwezi kuoperate bila kuimport key components kutoka China.
Mdachi kajipiga own goal, kapoteza credibility kimataifa kama nchi safe kwa wawekezaji, wengine kazi zimesimama, serikali inapoteza mapato na huku viwanda vya magari barani Ulaya na duniani vikianza kupitia wakati mgumu kutokana na kuanza kuadimika kwa semiconductors.
Imebidi Waziri wa Biashara wa Uholanzi amwendee hewani wa China kutafuta suluhu ya mzozo huo.
Mchina jibu lake moja tu aliiambia Uholanzi izingatie mkataba na utawala wa sheria.
Kuwa vibaraka wa Marekani kuna wacost sana bara la Ulaya, wakijitoa kwenye kuitegemea Marekani huenda wakarudia their past glory.
Hili sakata likanikumbusha kampuni ya Kidachi ya enzi za karne ya 17 na 18 iliyoitwa Dutch East India Company.
Ilihusika katika kupora utajiri na mali sehemu mbalimbali duniani (plundering and looting) ili kulitajirisha taifa lao. Miaka mingi imepita kumbe hii kitu ya uporaji bado iko kwenye damu.
CREDIT: https://www.cnn.com/2025/10/19/business/nexperia-us-china-car-prices
Si kweliUmeandika kishabiki mno
Umesema vyema kikweli ukikaa chini na kufuatilia huu mtifuano wa China na U.S/Westerners. Au suala la E.U na Russia utagundua hiloMara nyingi huwa nasema Mrusi na mchina amenisaidia sana kuzijua akili za wazungu.
Viongozi wetu wa Africa tatizo wengi wameamua tu kuwa vibaraka wao na kuhofia maisha yao.
Ila wakiamua kuamka wale wanatuliza akili maana hata hawana akili kubwa namna hiyo kama ambavyo tulivyokuwa tunadanganywa.
Hili la uholanzi linaendelea kuthibitisha kile ninachoamini kwasasa bila kusahau vioja vya Trump namkubali sana yule Raisi maana sio mnafiki na hajui kuigiza kama wenzie.
Trump ndio akili halisi ya mzungu wengine wanatuigizia tu na vichwa maji wanaamini.
Oh! Achana na hizi siasa, mambo sasa ni mswano. Acha kushangilia Xi Jinping bwana wee onaUholanzi walikuwa na kampuni ya inayoitwa Nexperia ya kutengeneza semiconductors ambayo ilikuwa inaelekea kufirisika.
Wakaja wawekezaji wa Kichina kampuni ya Wingtech Technology Co wakainunua Nexperia. Hivyo Nexperia ikawa ni kampuni tanzu ambayo inamilikiwa kihalali na Wingtech ya China.
Na kuanzia hapo ikawa inafanya vizuri sana kwenye utengenezaji wa semiconductors.
Takwimu za karibuni zinaonyesha Nexperia produces over 100 billion components kwa mwaka.
Karibu sehemu kubwa ya viwanda vya magari na viwanda vya vifaa vya umeme barani Ulaya na duniani vinaitegemea Nexperia kama supplier wao wa semiconductors.
Wakati wa hili vuguvugu la vita vya kiuchumi Marekani ikaishawishi Uholanzi ifanye namna kuikwamisha kampuni ya Wingtech ya China inayomiliki Nexperia.
Kama kawaida kibaraka akamtii bwana mkubwa wake. Serikali ya Uholanzi ikaipokonya Wingtech umiliki wa Nexperia. Wakaubadilisha uongozi wakamtoa CEO Mchina wakamweka Mholanzi wakidai kuwa hilo badiliko ni temporary.
Mchina alichowaweza Wadachi mapema tu baada ya kuinunua Nexperia, wakahakikisha zaidi ya 80% ya uzalishaji unafanyika China huku majengo ya HQ yakibakia Uholanzi na sehemu ndogo ya uzalishaji ukifanyika Ujerumani, Uingereza, n.k.
Walichofanya Nexperia China (Wingtech) ambako ndiko kuna uzalishaji mkubwa wa semiconductors na vifaa vya kutengenezea semiconductors wakazuia exportation kwenda Ulaya.
Hii inamaanisha hata viwanda vya Nexperia vilivyopo Uingereza na Ujerumani haviwezi kuoperate bila kuimport key components kutoka China.
Mdachi kajifunga own goal, kapoteza credibility kimataifa kama nchi safe kwa wawekezaji, wengine kazi zimesimama, serikali inapoteza mapato na huku viwanda vya magari barani Ulaya na duniani vikianza kupitia wakati mgumu kutokana na kuanza kuadimika kwa semiconductors.
Imebidi Waziri wa Biashara wa Uholanzi amwendee hewani wa China kutafuta suluhu ya mzozo huo.
Mchina jibu lake moja tu aliiambia Uholanzi izingatie mkataba na utawala wa sheria.
Kuwa vibaraka wa Marekani kuna wagharimu sana bara la Ulaya, wakijitoa kwenye kuinyenyekea Marekani huenda wakarudia their past glory.
Hili sakata likanikumbusha kampuni ya Kidachi ya enzi za karne ya 17 na 18 iliyoitwa Dutch East India Company.
Ilihusika katika kupora utajiri na mali sehemu mbalimbali duniani (plundering and looting) ili kulitajirisha taifa lao. Ni miaka mingi imepita kumbe hii kitu ya uporaji bado iko kwenye damu.
CREDIT: https://www.cnn.com/2025/10/19/business/nexperia-us-china-car-prices
Huu ni ushindi kwa ChinaOh! Achana na hizi siasa, mambo sasa ni mswano. Acha kushangilia Xi Jinping bwana wee ona
Exclusive: Nexperia's China unit resumes chip sales to domestic distributors, sources say
Dutch chipmaker Nexperia's Chinese unit has resumed supplying semiconductors to local distributors, according to two people briefed on the matter, having previously halted all shipments when Beijing banned exports following an ownership dispute.www.reuters.com