Wadachi wameyatimba kwa Wachina, kuwa kibaraka wa Marekani kumeigharimu Ulaya

Xi Jinping ngoja leo nikupe kitu roho inapenda. Fungua hii link

View: https://www.youtube.com/shorts/MxgGRypCyvc

Saafi sana jamaa kaelezea vizuri sana, nimependa alivyoanza na historia ya Wachina kuwapa kipigo heavy Dutch East Indies Company mwaka 1633

Na safari hii kwenye issue ya semiconductor Wadachi wamejiharibia wao na viwanda vya magari vya Ulaya

The moral of the story: Wadachi hawana uwezo wa kuzinesa na Wachina iwe kivita au kiuchumi
 
Nilijua utafurahi TU. By the way, Mimi ni mmoja ambaye nafaidika na advancement ya Technology ya China. Westerners walitunyanyasa sana na mabei Yako kwa ajili ya brand name. Imitations za kichina zimeshusha Bei hakuna mfano. Nikitajie mfano mmoja ni kuhusu kufuta vibatari vijijini, ni KAZI ya wachina
 
Back
Top Bottom