Saafi sana jamaa kaelezea vizuri sana, nimependa alivyoanza na historia ya Wachina kuwapa kipigo heavy Dutch East Indies Company mwaka 1633
Na safari hii kwenye issue ya semiconductor Wadachi wamejiharibia wao na viwanda vya magari vya Ulaya
The moral of the story: Wadachi hawana uwezo wa kuzinesa na Wachina iwe kivita au kiuchumi