😂😂Shoga hawezi kuwa mdada
Ila nn sasa dea? Ni "shost" et eeeh? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Shoga hawezi kuwa mdada
Ila nn sasa dea? Ni "shost" et eeeh? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hapana bhana hata sio tusi, sema ni vile tunavo lichukulia tyuuuh.Mie bora mtu aniite shost kuliko shoga aseee!
Neno shoga ni tusi
Na akikuita huwa unachukua hatua gani!? Au ndo Baada ya mazungumzo unamuambia sipendi hilo neno[emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hapana bhana hata sio tusi, sema ni vile tunavo lichukulia tyuuuh.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nimekupata dea, usijariiiiihUnajua shoga ni mtu wa namna gani?unajua anachofanywa?
Kama unajua huwezi kukubali kuwa shoga ama kuitwa shoga
"Shoga bwana aliyekuhaidi atakulipia kodi nimemkuta anakata mauno ili ajishidie t shirt ya tigo