Wadada bhana

Wadada bhana

Unajua shoga ni mtu wa namna gani?unajua anachofanywa?

Kama unajua huwezi kukubali kuwa shoga ama kuitwa shoga

Kwenye kamusi neno hilo lina maana mbili.
  1. mtu ambaye ana hisia za kike. Yaani mwanamme anayetaka kufanya mapenzi na mwanamme mwenziwe.
  2. rafiki uliyeshibana naye kiurafiki; hii ni kwa jinsia ya kike.
Sema sasa hivi limekuwa gumu zaidi kwa sababu ya hiyo ya pili kushamiri.
 
Hilo neno maana ya kwanza kwangu ndio maana sahihi mixer kingereza chake ndio kinanifanya nisilikubali........Gay

20200719_213218.jpg
 
Back
Top Bottom