Kipenseli
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 825
- 1,074
Asee.. Katika Pitapita zangu si nikakutana na hii nikasema kweli wadada noma
"Shoga bwana aliyekuhaidi atakulipia kodi nimemkuta anakata mauno ili ajishidie t shirt ya tigo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inachoma kama pasi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]"
Weka Meme uliyowahi kuiona kwa wadada[emoji116]