Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Unajua shoga ni mtu wa namna gani?unajua anachofanywa?
Kama unajua huwezi kukubali kuwa shoga ama kuitwa shoga
Kwenye kamusi neno hilo lina maana mbili.
Sema sasa hivi limekuwa gumu zaidi kwa sababu ya hiyo ya pili kushamiri.
Hilo neno maana ya kwanza kwangu ndio maana sahihi mixer kingereza chake ndio kinanifanya nisilikubali........Gay
View attachment 1511244
Hahaha, lakini mwanamke akiitwa shoga sioni kama ni baya.
Sema kwa mwanaume dah!
BTW, pole kwa kipigo.
Kivyovyote vile neno shoga limekaa vibaya vibaya
Nakuelewa sana sweetheart!
Ina maana pole yangu hujaiona?
Leo pole siipokei hadharani
Wewe ni mwanaume ?Hilo neno maana ya kwanza kwangu ndio maana sahihi mixer kingereza chake ndio kinanifanya nisilikubali........Gay
View attachment 1511244
I smell something fishy
Nakupigia.
Unanipigia leo ama kesho?
Unataka leo au kesho, muda wowote tu.
Anytime pia
Unajua vile siget enough of you babe
Waoh, you can say it again!
Oooh! Love you
HahahahaLove you too.
Hii avatar ni ya mtu yule yule wa ile ya kwanza au ni mpya!
Love you too.
Hii avatar ni ya mtu yule yule wa ile ya kwanza au ni mpya!
Hahahahahah maswali mengine uwe unaniuliza tukiongea basi
Ni yule yule wa ile ya kwanza
Hahahaha
Hahahaha, ndio najiandaaWe mzee hujaenda kulinda?