Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Unajua shoga ni mtu wa namna gani?unajua anachofanywa?
Kama unajua huwezi kukubali kuwa shoga ama kuitwa shoga
Kwenye kamusi neno hilo lina maana mbili.
Sema sasa hivi limekuwa gumu zaidi kwa sababu ya hiyo ya pili kushamiri.