Oh, sorry. Napita tu!hii starehe ni kitu kingine na tofauti bana, unaweza kujisemesha mie sitaki kabisa nitakaa ivi ivi hadi nipate wa kwangu nyege zikifika mahali pake unasahau ulichojisemea,
na katika uhuusiano kwa maisha ya sasa ni vigumu kuishi ktk uhuusiano bila kuduu kwani unaekuwa nae ni kaka yako??
sarafina1 umenichekesha kweli ..bwabwaaaah, yaani umekuwa muoga hivi?naona umeomba mnooo wadau wasikushambulie...na kweli hawajakushambulia....ila dear ndo hivo, kukushambulia ni sehemu ya changamoto tu humu ndani,tushazizoea kwahiyo zisikutoe machozi!! sawa???bwabwaaaaah
umeshawahi kujiuliza?
Hivi hasa kwa ambao hawajaolewa umeshatoa penzi kwa wanaume wangapi? na umepata faida gani? au kwa kumsaliti mumeo umewahi pata faida gani?
Kwa nini isifikie mahali wadada hasa ambao hawajolewa waseme basi sitotoa tena mwili wangu kwa mwanaume mwingine mpaka yule atakaekuja kunioa. Kwani umeshafanya hivyo kwa baadhi na hakuna aliekuoa.
Nadhani ifike kipindi wadada ifike useme basi inatosha waliopita wanatosha atakaefanikiwa tena ni yule atakaenioa, tena ikiwezekana siku tatu kabla ya ndoa labda ndio naweza muonjesha.
Sizungumzii sana wale wanaojiuza au kutegemea kupata pesa kutoka kwa wanaume hawawezi kujizuia hilo. hapa nimemlenga mwanadada mwenye kazi yake inayomtoshelezea mahitaji yake ya muhimu kusema basi inatosha kufanywa chombo cha starehe au haiwezekani wapendwa naombeni maoni yenu.
Msinitukane wala kunikebehi wajameni mi mgeni msijenikimbiza naomba tu maoni na tushauriane kama inawezekana au vipi
Na wale wasio na mpango wa kuolewa??Nwyz kwa hao unawatarget ndio ni sahihi kusema hapana kabla ya ndoa..ila ili kuepuka mishangao na migogoro isiyo ya lazima linapokuja swala la mapenzi ndani ya ndoa inabidi watu wajuane kabla!Hii ni sababu moja wapo ya kutoka nje ya ndoa...watu wanakua hawaridhishani kitandani kwahiyo wanatafutiana wasaidizi!
Na wale wasio na mpango wa kuolewa??Nwyz kwa hao unawatarget ndio ni sahihi kusema hapana kabla ya ndoa..ila ili kuepuka mishangao na migogoro isiyo ya lazima linapokuja swala la mapenzi ndani ya ndoa inabidi watu wajuane kabla!Hii ni sababu moja wapo ya kutoka nje ya ndoa...watu wanakua hawaridhishani kitandani kwahiyo wanatafutiana wasaidizi!
Kwa hiyo inaonyesha ni ngumu kabisa mtu kuishi bila kungonoka siyo, du basi kazi ipo
Sijasema ni ngumu ndo maana kuna mtu yuko singo miaka miwili na hajahusiana na mtu kimwili... ila kama unae kuna umuhimu wa kufahamiana nae kabla ya ndoa kama mnapanga kuelekea huko ili kila mmoja aridhike na mwenzake.Again..sio lazima!
Kumbe muoga hivi??? Ile speed uliyokuja nayo nilikuaminia kweli aaahhh umeniangusha sana bana hebu rudi
sarafina badilisha kichwa cha habari bana tuweze kuchangia. wengine tunaheshim katiba
acha utani bwana, hamna anayependa haya mambo bt da problem ni kwamba shuguli nzima z under vichocheo vya mwili, wapo wanaoamua kufanya hvyo bt the end of the day wanasaluti wenyewe. So in short huwezi pambana na vichocheo vya mwili
ok..
hawaridhishani kivipi?? Unatumia kigezo gani kujua?
Kwa hiyo utazunguka kwa wangapi mpaka upate anayekuridhisha?
Wale wote ambao wanaridhishana na ambao hawako kwenye ndoa wamejaribu wangapi??
Naomba unisaidie hapo...
Kwa dunia ya sasa ningekushauri wewe mleta mada kama unaamua kusubiri ufanye hivyo tu kwa usalama wako..
Vigezo ni swala la kibinafsi zaidi.....kama Juma anavyomchagua Asha kua mke wake badala ya Ashura anakua ametumia vigezo anavyovijua yeye na ndio maana Amani atakuja kumuoa Ashura japo Juma hakuona anamfaa yeye.
Na kuridhishana kama ilivyo kwa wanaotafuta wachumba ni kwamba mtu anakua anajua wewe ni mtu wa aina gani,,,unapenda na unataka nini...hata kama kutakua na viwili au vitatu mnavyotofautiana bado wanaweza kuamua kua pamoja....hiyo ina maana kwamba kila mmoja ameamua kuridhika na mwenzake.
Juzi kuna mtu alianzisha thread kwamba anataka kutafuta nyumba ndogo kwasababu mke wake amekataa kuperfom oral sex.....mume haridhishwi na hiyo hali kwasababu alishazoea kabla ya kukutana na mwenzake na hakujua kwamba hilo litakua tatizo.Kama angejua kabla na bado akaamua kua nae hivyo hivyo asingekua na mawazo ya ''kutafuta nyumba ndogo'' kwasababu alijua hatapata na akaamua kukubaliana na hali halisi mapema...hapo asipobadili mawazo ndoa yao inaweza kuvunjika iwapo mkewe atagundua kwamba mumewe anatoka nje ya ndoa.
Mke nae haridhishwi na hali ya mumewe kutaka afanye kitu ambacho yeye hataki/hawezi......hivyo kadri atakavyomlazimisha ndivyo watakavyoongeza migogoro na kununa ndani ya nyumba kwasababu kila mmoja anaona kwamba hatendewi haki na mwenzake.
Swala kusema mtu atazunguka na wangapi ili apate wa kumridhisha ni relative....rejea kwenye maelezo ya juu.Lengo kuu ni kumjua ili umkubali na kuridhika na mwenzako alivyo kabla ya kuingia kwenye commitment ambazo ni ngumu kujitoa...
Sasa kuliko kuingia kwenye ndoa alafu uwe unatafuta chochote kile nje ya ndoa kwasababu hupati ndani ni ulimbukeni....soma...tambua...kubali...RIDHIKA.
Mie nilishamshitukia jana kaja na avatar tayari,signature anaweza kumultiquote nilisituka nikasema mgeni mwenyeji huyudena kwani sarafina ni mgeni eee?<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/nono.gif" border="0" alt="" title="Nono" smilieid="233" class="inlineimg" />kwa habari ya hii thread ngoja nikatafakari kwanza
Asante kwa maelezo marefu..
Ingawa umejaribu kuelezea mambo mengi yanaohusiana na kuridhika, lakini swali lilikuwa kuridhika KITANDANI? maana kwa maelezo yako unaamini wahusika wajuane kabla ya ndoa ili kuepusha migogoro baada ya ndoa?
Swali linabaki pale pale, je asiporidhika na perfomance yako, utamuacha na kwenda kutafuta mwingine? na huyo mwingine je asipotimiza kiu yako?
Kila mtu anaogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia..je huu msemo ni wa kujilinda tu? ni nani anayependa kuonekana mbuzi kwenye gunia?...
Waiz Boi habari yako?