Kwa nini usishindane nayo si maamuzi tu? kwani we huwa huvumilii ukishikwa na hamu ya bia halafu hela huna?
Mi naombeni Mwongozo...Sarafina1 ni nani wajameni.....mbona ninaelekea kumpenda gafla hivi. mmmmh:juggle:
Ambacho hajaelewa ni nini mpenzi naogopa kushambuliwa wakati bado mgeni, nikakimbia jukwaa kabla ya wakati my dia
Ni binti wa Asprin
mmh...umejuaje Husninyo........mmmh:juggle:
unapotea sana, watu tushakaribisha hapo.
Mbona hujantafuta sasa,,,,