Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Kwa nini usishindane nayo si maamuzi tu? kwani we huwa huvumilii ukishikwa na hamu ya bia halafu hela huna?
Natafuta alternative nahamia kwenye Mnazi, Kibuku, Gongo, Choya, Mbege, Komoni, Msabe na Ulanzi.