donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
-
- #121
Hahah hebu angalia sasa your full name how it sounds silly, "MBITIYAZA NANYUPU'. Mama, wewe ni mtaalam wa tiba za jadi ama? Walau mtoto unaita (unafupisha) 'Ya Lucchese' kidogo it sounds sexyNDIO !
Mrina kwa wazee wa juice[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]
Kuna haja ya kufahamiana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kweliTeh...
Lakini ujue sio kwamba wote wamevaa nguo fupi, ukute ni skirt iliyofika magotini sasa akikaa kwenye gari lazima ipande juu.
Umenena vyema mkuuWanawake wengi kuonekana wamevaa nguo fupi wakati waki drive ni kwamba kuna logic katika hilo. Mwanamke akiwa amevaa gauni au skirt ndefu huwa wanatatizika katika ku drive hasa katika ku shift miguu kati ya accelerator, brake au clutch. Wengi kweli huwa wanazipandisha kidogo ili waweze kuona pedal wanayokanyaga. Hali hii maranyingi huwa kwa wanawake ambao hawana experience ya ku drive kwa miaka mingi. Ila ukikutana na wale walioanza ku drive miaka mingi, huwa hawahitaji kuvuta nguo juu wakati waku drive. Hili nililigundua wakati namfundisha wife kwani mara zote alikuwa anapandisha nguo juu ili aweze kuona pedals kupitia katikati ya magoti/miguu. Unless avae suruali ndo hatatiziki.
NB: Kweli wapo wanaovaa nguo fupi kama jadi yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah,.ni kweli mkuu ipo haja. Hiyo ndio mitaa yangu, mlina, pinpoint,calfornia,saraphina,inferno,babylon etc.Mrina kwa wazee wa juice[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]
Kuna haja ya kufahamiana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ni point.Mkuu fikiria tu
Sasa hivi hali iko hivyo, tuna dini, tunapiga kelele kuhusu wanawake kujistiri na kelele nyingi kutoka serikalini (ofisi za umma). Fikiria kama tungekaa kimya mavazi ya wanawake yangekuaje leo hii?
Fikiria hakuna dini wala kelele yoyote hali ingekuaje?
Wanawake usiwachukulie mzaha mzaha akili zao ni za kipekee sana
Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Ile ishu naona imebuma na naogopa kuchokonoa nisije lambwa ki mun[emoji106][emoji106]
Kabisa mkuu, yaan ukishapita ile bashasha inapunguaUkiwaambia wanasema tunawadhalilisha na wanadai hatuwaheshimu na mbaya zaidi wakitukanwa wanadai tumewatukana mama zetu,kweli mama yangu huyu mzee hivi anavaaga kiuchiuchi,mbona mimi sijawhishuhudia..?
Wanawake wengi wanavaa mavazi yakujidhalilisha nakufanya vijana tushindwe kuoa kwa wakati kwani wakivaa hivyo tunapata confidence yakuwatongoza na wengi hawakatai,tukiwalamba mzuka wakuoa unapungua,mchawi wa mwanamke ni mwanamke kwakweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haaaa ishu gani tena jamani? UsiogopeIle ishu naona imebuma na naogopa kuchokonoa nisije lambwa ki mun
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe sio alpha siera kilo ile ndefu kweli?Hahah,.ni kweli mkuu ipo haja. Hiyo ndio mitaa yangu, mlina, pinpoint,calfornia,saraphina,inferno,babylon etc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nipate pc nzuri tuamie kwenye fifaDah..game za kwenye simu kama izo zinaga mzuka nazo ila tutajaribu kufanya pambano
Hapo sitakuacha salama mkuu
Welcome
Twende Kassim Majaliwa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Mkuu, yaan najiamini sana ninapokua nyuma ya keyboardHapo sitakuacha salama mkuu
Sawa mkuu mikono itaongea
Mida ya misosi bwana misosi fanya tukaribishane