Wadada.....duhhh!!!

Wadada.....duhhh!!!

Pamoja sana
IMG_20170831_132859.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania ndio maana hatuendelei, ivi mavazi ni kitu cha kukaa na kudiscuss??? Anaingiaje ofisini inakuhusu nini ww?? Ila kawaida sketi futi ya size ya magoti ukikaa inapanda sasa uko kwenye ndinga yako uangaike kuivuta ili iweje?? Simple minds discuss pipo...endeleeni kudiscuss umni wake wkt mmeshikilia bomba hapo ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa kweli umeingia chakA khan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tawire. Hapa kuna mmoja kashusha kioo hadi mwisho anakata mauno ngoma ya seduce,me ndani ya spacio yake. [HASHTAG]#Morocco[/HASHTAG] mataa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na kimi nikipata ya kwangu nitatembea na kichupi tu. Si gari yangu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Tulieni nyinyi mavazi yenyewe mmeletewa na mzungu afu mnakuja kupiga makelele humu si mfungue viwanda vyenu mtengeneze hayo mavazi nadhifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom