Wadada Hala hala na Savanna!!

Mimi kuna mmoja alinitoa damu, ilipofika laki tu, nikaacha kuhesabu gharama, maana roho ilikuwa inauma balaa.
Kesho yake nilifuta namba.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umenikumbusha jana nilikuwa tips kuanzia saa 11 nlikaa na warembo 5 wanapiga bia hatari kufika saa 3 kasoro nikaomba bill imeshafika laki na nusu [emoji15]

 
Niliwahi kuwatoa out masista doo flani hivi pale white sands. Ile waiter kaja, wakaanza kuagiza ma vinywaji ya ajabu ajabu mengine yana chupa kama ya chui chui. Basi mie nikaenda short call. Ile kurudi nikakuta wameyarudisha wakachukua vi juice... Basi nilivyorudi hawakuamini. Wakajua nilikuwa nimewakimbia. Jamani siku hiyo ilikuwa imeingia laki tano yangu mkopo kutoka SACCOSS ya kazini. Mbona ilipukutika!
Hawa viumbe sio watu wazuri ukiwaendekeza sana!
 


😂😂😂sasa juice ikumalizie laki 5 mkuu??labda useme walianza kufakamia pombe
 

Hahahahahaha

Wakajua wataosha vyombo mamaee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…