Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
😂😂😂Ilibaki buku 2 apate walau 14lts za mafuta..hizo unaenda nazo kwakweli😺
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mini,ubadhani alikuwa sahihi?Niliona comment ya binti mmoja anamshangaa jamaa yake anakunywa wine... She said kuwa mwanaume anayekunywa wine inabidi aangaliwe vizuri.. [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] Nimeipenda hii analysis yako[emoji23][emoji23][emoji23]Ilibaki buku 2 apate walau 14lts za mafuta..hizo unaenda nazo kwakweli[emoji74]
Sijui sababu sikujua sababu zake hasa ni zipi.Kwa mini,ubadhani alikuwa sahihi?
😂😂😂usiiaply kwangu basi na ww..
Niliwahi kuwatoa out masista doo flani hivi pale white sands. Ile waiter kaja, wakaanza kuagiza ma vinywaji ya ajabu ajabu mengine yana chupa kama ya chui chui. Basi mie nikaenda short call. Ile kurudi nikakuta wameyarudisha wakachukua vi juice... Basi nilivyorudi hawakuamini. Wakajua nilikuwa nimewakimbia. Jamani siku hiyo ilikuwa imeingia laki tano yangu mkopo kutoka SACCOSS ya kazini. Mbona ilipukutika!
Hawa viumbe sio watu wazuri ukiwaendekeza sana!
Ile juice ilikuwa round ya kwanza. Sasa walipokuwa na uhakika mdau nimerudi si ndio wakaanza na haya madude!😂😂😂sasa juice ikumalizie laki 5 mkuu??labda useme walianza kufakamia pombe
hahhaha pole sana...!Ile juice ilikuwa round ya kwanza. Sasa walipokuwa na uhakika mdau nimerudi si ndio wakaanza na haya madude!
View attachment 1040775
Hahaha hapo ndio anajilaumu kwa nn hakulipa talamkuu kama vipi wacheki wale wanaotoa mkopo fasta fasta...wanaweza kukusaidia maramoja!
Hvi kuna wanawake wanaoweza kunywa Savannah zaid ya saba na wasiwe high....4500 ×7=31500..Hatupaswi kulalamika
Sent using Jamii Forums mobile app
ina sukari..lol..ila ina ladha kuntu