Wadada hamuwezi mkawa seriously

Wadada hamuwezi mkawa seriously

Joined
Aug 7, 2016
Posts
42
Reaction score
25
Wadada bhan..;Utasikia mwanamke anahitaji matunzo
mara utasikia mashine yako kasagie mahindi[emoji13] [emoji13]
Swali linakuja ikiwa Baba ako kashindwa kukutunza mpaka kaamua kukubadilisha na Ng"ombe[emoji28] [emoji28] [emoji28]
mm ntawezaje
akili zang nazijua mwenyew[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tutakaa kweli tuweze kutengeneza makombora ya masafa marefu kwa akili kama hizi?
 
Hajashindwa kumtunza mwanae ila ni mila na desturi binti akifikisha umri fulani inatakiwa aolewe .... Mzazi wangu hata siku moja hajawahi niambia oooh nikubadilishe na ng'ombe mara mbuzi nimechoka kukutunza walaaaa kanipa choice ukipenda sawa usipopenda sawa ... Looo kua na adabu
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122].....umejibu vizuri bila kumtusi mtu wewe ni dada mzuri!
 
Kweli akili zako unazijua mwenyewe.
Hajashindwa kumtunza bali ni mfumo wa jamii(utamaduni) ndio unataka hivyo, nawe tambua unahitaji mke na uko ktk jamii hiyo hiyo. Ukiona huo mfumo ni mgumu kwako then unaweza kuopt vinginevyo.
 
Back
Top Bottom