Wadada hawa walinifanya nijiunge JamiiForums

Wadada hawa walinifanya nijiunge JamiiForums

Miss chagga,Evelyn salt,heaven sent na madame b..hawa wadada walinifanya nicreate accnt jf ili nije kupambana nao huko mnakukokuita pm ila nilivyojiunga tu nao wakapotea humu

Nanii alikufanya wewe ukajiunga humu jf?
Nilijiunga mwenyewe baada ya kufuatilia page ya JF ya FB na kuona watu wanajadili mada kwa uwazi bila woga huku wakitumia majina fake.

Ndio nikasema ngojaniitafute App nikaipata na kujisajili moja kwa moja.

Ila kabla ya hapo nilikuwa naisikia JF bila kujua kwa undani zaidi jinsi ilivyo.
 
Miss chagga,Evelyn salt,heaven sent na madame b..hawa wadada walinifanya nicreate accnt jf ili nije kupambana nao huko mnakukokuita pm ila nilivyojiunga tu nao wakapotea humu

Nanii alikufanya wewe ukajiunga humu jf?
Sijui ni wapi umekosea au pengine umeamua kuwa muongo bila sababu.. Hao member kwakweli wengi wao kwa sasa hawaonekani sana ila kipindi ulichojiunga walikuwa wanatrend sana.. [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
IMG_20180324_100221_866.jpg
 
Sijui ni wapi umekosea au pengine umeamua kuwa muongo bila sababu.. Hao member kwakweli wengi wao kwa sasa hawaonekani sana ila kipindi ulichojiunga walikuwa wanatrend sana.. [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 723803
Ndio mkuu...yani ilikua kila ukigusa siledi lazima ukutane nao,ila walipotea tu sijui ndio kuolewa
 
Back
Top Bottom