Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
- #21
Kama wapo basi nivizuri,,tuseme zama zao zimekwisha kama kina maradona wamebaki kuwa wachambuzi..Wapo ukiwahitaji nijulishe na sio uchawi wala ndumba search kwenye LAST SEEN ya kila mmoja utajua tu... Ila kuhusu location siwezi kukuambia