Wadada hawa walinifanya nijiunge JamiiForums

Wadada hawa walinifanya nijiunge JamiiForums

Mmenifanya nikumbuke enzi za jambo tunachat huku dj anapiga mziki...mtu ambae namuona toka enzi hizo ni Malafyale tu.

Hongera sana kwa ndugu yangu Maxence kweli umepambana mpk leo JF imekuwa kubwa namna hii
 
Ahsante kwa kunisamehe Babu.

Nakutakia njozi njema mubashara kabisa....
Ahsante.. Ila ongea na haya majamaa yaache kufurumusha makombora... huku Sarajevo ili ulale vizuri shurti uwe kiziwi au uweke pamba masikioni.
 
Tunguli zako zilinivutaaa mpaka Jf maan nilijiunga bila kuelewa moja kwa moja nikaenda kwenye thread za Mme wangu

Naomba leo uniambie ulinijua tangu nipo tumboni mwa mama mkwe wako.
Shauri zako...
 
Ahsante.. Ila ongea na haya majamaa yaache kufurumusha makombora... huku Sarajevo ili ulale vizuri shurti uwe kiziwi au uweke pamba masikioni.
Sawa Babu nitafanya hivyo
 
Mmenifanya nikumbuke enzi za jambo tunachat huku dj anapiga mziki...mtu ambae namuona toka enzi hizo ni Malafyale tu.

Hongera sana kwa ndugu yangu Maxence kweli umepambana mpk leo JF imekuwa kubwa namna hii
Tupo....kama wewe hapo ID ni 2014 lakini unakumbuka Jambo Chat yaani ulikuwepo.
 
Tupo....kama wewe hapo ID ni 2014 lakini unakumbuka Jambo Chat yaani ulikuwepo.

ID yangu ya kwanza niliachana nayo kuna mtu wa ofisini alijua nae alikuwepo humu nikaona anaifuatilia nikabadili.

Enzi za jambo ilikuwa raha sana..kina Tunu sijui wamepotelea wapi
 
Miss chagga,Evelyn salt,heaven sent na madame b..hawa wadada walinifanya nicreate accnt jf ili nije kupambana nao huko mnakukokuita pm ila nilivyojiunga tu nao wakapotea humu

Nanii alikufanya wewe ukajiunga humu jf?
Wamebadili ID ili kukwepa kuwachanganya wanaume wakware.
We ukiona umempa demu wa humu namba, afu haonyeshi ushirikiano, ujue hiyo namba ulishampa wakati anatumia ID nyingine, na ukampitia.
 
Back
Top Bottom