Wadada hawa walinifanya nijiunge JamiiForums

Wadada hawa walinifanya nijiunge JamiiForums

Nilijiunga mwenye bila kusukumwa namtu .

Ila saizi kuitumia nasukumwa na mtu ...ile napenda kuiita " Hidden pressure "
 
Babu mm nilianzia DHW...watu wengi tuliokuwa DHW tuliingia jambo.

Lile ndio lilikuwa chimbo langu la kuchukulia mademu...Mpaka maraehemu Yona tulikuja kutofautiana huko
Sasa kwanini nakuuliza swali afu unatoa siri zetu. Hapa JF ushakula mademu wangapi?
 
Nilijiunga mwenyewe baada ya kufuatilia page ya JF ya FB na kuona watu wanajadili mada kwa uwazi bila woga huku wakitumia majina fake.

Ndio nikasema ngojaniitafute App nikaipata na kujisajili moja kwa moja.

Ila kabla ya hapo nilikuwa naisikia JF bila kujua kwa undani zaidi jinsi ilivyo.
Fb wanatumia majina fake au ulikuwa ukifungua link wanazoambatanisha ndio unakuja kukutana na majina fake? Nidadavulie kidogo boss
 
Babu mm nilianzia DHW...watu wengi tuliokuwa DHW tuliingia jambo.

Lile ndio lilikuwa chimbo langu la kuchukulia mademu...Mpaka maraehemu Yona tulikuja kutofautiana huko
Yona alikuwa anaongea yule mtu!
 
JF niliijua mwaka 2013 Nikiwa kidato cha 4. Nimekua offline user kwa muda wote mpaka 2018 ndio nika register Rasmi.
-The bold
-Mshana Jr hawa watu nilikua nafuatlia nyuzi zao sana mpaka sasa bado nafuatilia nyuzi Zao.

Ila Kuna uyu mrembo "KAPEACE"
Comments zake ndio zilini ongezea speed ya kucreate account.
 
Weraa weraaa.. [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]adui mwombee njaa afweee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utasubiri sana we mchawi....
 
aisee mimi bwana nilijiunga kwa sababu nilitaka tu kujiunga sasa dont get me wrong mkuu .....wewe kama ulikua radhi kupukutisha muda wako....kisa watu ambao huwajui ......like really......?
Kutokujuana ni mwanzo wa kujuana

Kwa wasomaji wa vitabu kuna kitabu nimesahau title kinazungumzia power of strangers...don't underestimate it.
 
Back
Top Bottom