BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Mie nilijiunga kutokana na stories za vijiweni. Kwenye kijiwe kimoja kila siku utasikia umesoma leo alichoandika Mzee ES kule jambo forum? Wengi tulikuwa hatujui jambo forum waliyoifahamu na kumsoma Mzee ES humu walikuwa hawataki kusema alichoandika.
Basi siku moja nikazuka humu enzi hizo wanachama hawakufika hata 150. Nikawa natafuta posts za Mzee ES tu hahahahaha lol! Baadaye nikaanza kuwasoma wachangiaji wengine. Nikapenda niliyokuwa nikiyasoma hivyo kuamua kujiunga
Mzee ES baadaye alibadili ID akajiita Field Marshal huyu ni NONE other than Le Mutuz I am humbled you know.
Nimelowea lakini enzi zile Lemutuz alikuwa akiweka vitu nyeti sana humu achilia mbali wengine waliochomoa nyaraka nyeti na kutafuta namna ya kuziweka humu ili kutufumbua macho Watanzania.