Wadada hawa walinifanya nijiunge JamiiForums

Wadada hawa walinifanya nijiunge JamiiForums

Mimi ni upeo wangu wa kudiscus mambo ya msingi na pumba ndo ulinifanya nijiunge JF maana huku hutaona Agnes masogange akipost TAKO afu tu like.
Aaah mkuu we upo pande zipi JF? Hebu katiza mitaa ya JF vizuri uta yaona matako mengi tu. Mengine kama yana dondoka hivi na likes za kumwaga tu wanapata.
 
Wapo ukiwahitaji nijulishe na sio uchawi wala ndumba search kwenye LAST SEEN ya kila mmoja utajua tu... Ila kuhusu location siwezi kukuambia
nilitaka kushangaa,mshana achangie bila kutaja neno uchawi..haha..
 
miss chagga, Evelyn Salt, Heaven Sent na Madam B hawa wadada walinifanya nicreate accnt JF ili nije kupambana nao huko mnakokuita PM ila nilivyojiunga tu nao wakapotea humu

Nanii alikufanya wewe ukajiunga humu JF?
Mkuu umemsahau pia masai dada sijui kapotelea wapi rafiku yangu huyu tulikua tunadiscuss sana wrestling alikua mdau....nimeanza kutumia jf since 2009 ila nimejiunga rasmi early 2013....kilichonifanya nijiunge JF is never boring kuna kila vituko [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mzizi makavu,miss chaga,
Arusha one,madam b,cute be

Na jukwaa na kilimo
 
mimi nilijiunga JF , tigo ndio walioniletea kipindi kile cha sms za vichekesho walikuwa wakinitumia kichekesho wanaandika na source kilikotoka nikiingia wanasema register now Nika register yakaja majukwaa mengi nikaipenda ilikuwa mwaka 2012
 
Back
Top Bottom