Wadada hawa walinifanya nijiunge JamiiForums

Wadada hawa walinifanya nijiunge JamiiForums

Baada ya kusikia kwenye Media ati Jamii forum yafungiwa,nikaona nijue hiki Ni Nini TOFAUTI na jukwaaa la kisiasaπŸ˜‚
 
Member wote wa intelligence ndo wamenishawishi.... Akiwepo Baba Swalehe Kiranga Mshana Jr (sema mshana we jau sana.. nifanyie mpango nipate chaguo la moyo wangu mkuu)

Ila kwa sasa nina mpango wa kutoka huku jf kutokana na huyu BICHWA KOMWE - amekua akiniandama sana mpaka najuta sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ mana kuna siku nimefingua comment ya bichwa mbele ya mshangazi wangu... Akabaki akifumba mdomo tuu .. kila nikijitetea hakunielewa maana alijua na mimi ni mtu wa vin.....

Shukurani mkuu.

Sifa ya Mshangazi ni kuwa mpole.

Akiwa mkali huyo ni bosi tu, si Mshangazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shukurani mkuu.

Sifa ya Mshangazi ni kuwa mpole.

Akiwa mkali huyo ni bosi tu, si Mshangazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Daaah hapo sasa naona ni jinsi gani na wewe ulikua mtu wa mishangazi πŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.....
 
Kuna mda unakua hovyo sana wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Haya maisha man kashapitia yote, ni sasa tu man katulia anaasa vijana.

Man kashapitia lishangazi liimba taarab hapo ndani ya Mwananyamala.

Yani vitu viwili tofauti, kupata experience tu ya maisha tofauti.

Ila ukimuangalia man kwa uoga unamuona tu huyu jioni kisomo hajui kitu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Man man una zingua ....
Ahahaha wee bana unamjua chado..?
 
Back
Top Bottom