Wadada hawa walinifanya nijiunge JamiiForums

[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]
hahahaha, huyo ndie haswa aliyeniambia habari za Jamboforums, alikuwa mtangazaji wa ITV kituo cha Arusha, Baadae akawa DC na sasa yuko Star TV. Bila huyo sikuwa na habari za Jamboforums ambayo sasa ndio hii Jamiiforums. Ahsante Nova Makunga kuniunganisha huku kwenye maraha JF
 
mimi ni katika kusearch vitu mbalimbali google nilikuwa najikuta nimekuja jf na kupata majibu mazuri nikashawishika kujiunga 2011 hiyo
 
ukienda kwenye jukwa na kuchat kule unakutana na uran naona saizi amekomaa na michezo
 
Alie nifanya nijiunge uku chakushangaza yeye mwenyew hajawai kufungua account ya jamii forum.........yey huwa anatumia opera min.. anaingia bila ya kuwa na account atafatilia anachofatia akimaliza anapoa......ila kwenye hili jukwaa nimefunza vingi mno
 
Member wote wa intelligence ndo wamenishawishi.... Akiwepo Baba Swalehe Kiranga Mshana Jr (sema mshana we jau sana.. nifanyie mpango nipate chaguo la moyo wangu mkuu)

Ila kwa sasa nina mpango wa kutoka huku jf kutokana na huyu BICHWA KOMWE - amekua akiniandama sana mpaka najuta sasa 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 mana kuna siku nimefingua comment ya bichwa mbele ya mshangazi wangu... Akabaki akifumba mdomo tuu .. kila nikijitetea hakunielewa maana alijua na mimi ni mtu wa vin.....
 
Operamin mpaka leo ipogo kumbe 😂😂😂kitambo
 
Hahahaaa hebu hukooo!! mxxxiiieeeew
 
Back
Top Bottom