Wadada hawa walinifanya nijiunge JamiiForums

Wadada hawa walinifanya nijiunge JamiiForums

Member wote wa intelligence ndo wamenishawishi.... Akiwepo Baba Swalehe Kiranga Mshana Jr (sema mshana we jau sana.. nifanyie mpango nipate chaguo la moyo wangu mkuu)

Ila kwa sasa nina mpango wa kutoka huku jf kutokana na huyu BICHWA KOMWE - amekua akiniandama sana mpaka najuta sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ mana kuna siku nimefingua comment ya bichwa mbele ya mshangazi wangu... Akabaki akifumba mdomo tuu .. kila nikijitetea hakunielewa maana alijua na mimi ni mtu wa vin.....
Mimi aisee.... Sidhani mkuu
 
Mimi mtu wa mwakaleli mkuu

Huko wapi umekutaja ilkua miaka gani

Anhaa nmekumbuka kuna kipindi nlkua na akili ila nmerudi kukaa kwa shemeji akili hamna tena
Swalehe achukue akili zako tuu..
Ila ujanja ujanja wako huo aachane nao nahisi atasumbua sana dadek πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom