Wadada hawa walinifanya nijiunge JamiiForums

Wadada hawa walinifanya nijiunge JamiiForums

Miss chagga,Evelyn salt,heaven sent na madame b..hawa wadada walinifanya nicreate accnt jf ili nije kupambana nao huko mnakukokuita pm ila nilivyojiunga tu nao wakapotea humu

Nanii alikufanya wewe ukajiunga humu jf?
MSHANA Jr na mambo ya ulozi na utabibu
 
Miss chagga,Evelyn salt,heaven sent na madame b..hawa wadada walinifanya nicreate accnt jf ili nije kupambana nao huko mnakukokuita pm ila nilivyojiunga tu nao wakapotea humu

Nanii alikufanya wewe ukajiunga humu jf?
Ina maana kumention hujui au?
Najua kuna mada flani nilichangia ndiyo iliyopelekea ukashawishika.
Na mada ile ndio nilipata Pm zaidi ya mia ndani ya wiki, najua nawe ulivutiwa nayo.
But me nipo na nashukuru kwa kuwa kishawishi cha wewe kujiunga.

Nakupenda hazard cfc
 
Nakupenda pia madameee....wape hi kino
 
Nilikua chuo sasa kila nikirudi ghetto jioni bro akitoka job mimi nipo zangu busy nasoma. Mara unasikia "chalii sikia kuna mtu JF ameachwa anataka ushauri, sikia sasa wanavyomjibu...."

Najikuta kwa kusomewa tu pale nacheka mpaka nasahau kuendelea kupiga kitabu. Siku nyingine akuambie sijui kumetokea nini, vitu kibao na hali ya nchi ilivyo maana mimi sio mpenzi wa kuangalia tv wala kusikiliza radio labda iwe mechi tu.

Basi nikaona nisiadithiwe kila siku nikapakua app na kujiunga moja kwa moja.. Ni miaka karibu minne sasa
 
Back
Top Bottom